Umezaliwa Mwezi Gani??

Kumbe mie ni mjasiri na mkorofi?

Ndo nimejua leo.

Leo pia nimejua kuwa The secretary ana mvuto wa mapenzi.:A S-rose:
 
Last edited by a moderator:
he he.. Asprin... FirstLady1...eti ni kweli sisi tupo hivyo....kama huyu jamaa anavyosema.....?
Kumbe Preta na wewe ni mjasiri eh? Ila wanatuonea eti wakorofi, yaani mtu akupe za uso we ukimpa za pua unaitwa mkorofi.... shenzy sana.
FirstLady1 popote ulipo, njoo jibu swali la mjasiri mwenzangu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Preta na wewe ni mjasiri eh? Ila wanatuonea eti wakorofi, yaani mtu akupe za uso we ukimpa za pua unaitwa mkorofi.... shenzy sana.
FirstLady1 popote ulipo, njoo jibu swali la mjasiri mwenzangu.

khaa....mi sijui watu wakoje....eti wakorofi....mtu alete unazi nisimng'oe ngogwe si ntakuwa nimelogwa.....
 
Last edited by a moderator:
khaa....mi sijui watu wakoje....eti wakorofi....mtu alete unazi nisimng'oe ngogwe si ntakuwa nimelogwa.....
Thats my darlie Sis Preta!!! And Thats Why I love JANUARY!! Ukimwaga mboga, siye twamwaga ugali mpaka kieleweke. Ukorofi uko wapi hapo? Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao>>> TUNAPIGA!
 
Last edited by a moderator:
Thats my darlie Sis Preta!!! And Thats Why I love JANUARY!! Ukimwaga mboga, siye twamwaga ugali mpaka kieleweke. Ukorofi uko wapi hapo? Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao>>> TUNAPIGA!

JANUARY is there to stay...kwani nini bana.....
 
Last edited by a moderator:
Umezaliwa mwezi gani?
JANUARY =:> Jasiri na mkorofi

FEBRUARY = :> Mwenye bahati na
mkweli

MARCH =:> Msumbufu ana wivu na
penzi la kweli na nimzuri

APRIL=:> Anajali na ni mpiganaji.

MAY =:> Mwenye upendo na aliye halisi

JUNE =:> Mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo

JULY =:>Amebarikiwa vipaji na ana busara

AUGUST =:> Makini na mchapa kazi

SEPTEMBER =:>Anaelewa haraka na ni mzuri

OCTOBER =:> Anakwenda na wakati na ni rafiki

NOVEMBER= :> Ana kipaji na ni mbunifu

DECEMBER =:> M2 wa starehe 2.

najaribu kusoma Nyota
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom