Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
hahaha yaani naona kagong mule mule...lol ukikutana na mimi uache ukorofi eeehh
Mwenzio nna bahati ya peni.....................................
na mimi nataka kuwa kama pen.....nifanyeje....?
hahaha yaani naona kagong mule mule...lol ukikutana na mimi uache ukorofi eeehh
Mwenzio nna bahati ya peni.....................................
Tarehe 21 January, ilikuwa alhamisi. Chezeya JANUARY?
Wakimwaga UGALI siye twamwaga MATEMBELE, shenzy zao.sisi huwa hatuna maneno na watu....watu ndo huwa wanataka maneno na sisi....
Tarehe 21 January, ilikuwa alhamisi. Chezeya JANUARY?
Wakimwaga UGALI siye twamwaga MATEMBELE, shenzy zao.
Umesamehewa dhambi zako zote kwa hii yuzifu post....!!Hahah...nitaunda hypothesis: Watu wote waliozaliwa on a THURSDAY are great minds!! esp. if it was on a January Thursday!!!
Kwa mujibu wa huo mtazamo wako, wezi, wavuta bangi, mafisadi, wabakaji, makahaba etc.....etc... wamezaliwa mwezi gani..??Umezaliwa mwezi gani?
JANUARY =:> Jasiri na mkorofi
FEBRUARY = :> Mwenye bahati na mkweli
MARCH =:> Msumbufu ana wivu na penzi la kweli na nimzuri
APRIL=:> Anajali na ni mpiganaji.
MAY =:> Mwenye upendo na aliye halisi
JUNE =:> Mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo
JULY =:>Amebarikiwa vipaji na ana busara
AUGUST =:> Makini na mchapa kazi
SEPTEMBER =:>Anaelewa haraka na ni mzuri
OCTOBER =:> Anakwenda na wakati na ni rafiki
NOVEMBER= :> Ana kipaji na ni mbunifu
DECEMBER =:> M2 wa starehe 2.
Kwa mujibu wa huo mtazamo wako, wezi, wavuta bangi, mafisadi, wabakaji, makahaba etc.....etc... wamezaliwa mwezi gani..??
December lkn si kama ulivyosema!
Kwa mujibu wa huo mtazamo wako, wezi, wavuta bangi, mafisadi, wabakaji, makahaba etc.....etc... wamezaliwa mwezi gani..??
Wengi wao Januari.....hahahahaaah.
October 17, nina uhakika ni rafiki mzuri, sina uhakika na kwenda na wakati
Kama mimi vile, sijui kazitoa wapi hizi tafsiri?
Inategemea na definition ya kwenda na wakati, kama inamaanisha kutunza muda, I.e. Kufika kwenye appointment kwa muda pangwa etc, ni sawa. Lakini kama inamaanisha maswala ya fashion.... SijuiHawajakosea...teh teh..kubaliana na ukweli tu..
mh mtoa mada kadanganya bana xmas tunaadhisha siku ya bosi wetu usituzingue shindwa kabisa wewe heh
December lkn si kama ulivyosema![/QUOTE
kama december imegoma cheki March, maana decmber ni 12, then 12= 1+2=3
ikigoma hapo potezea