Umewahi kusikia EWURA wamemkamata anayechakachua mafuta na wakamtangaza??

Neng'uli

Senior Member
Aug 1, 2011
126
33
EWURA kupitia msemaji wake leo katika radio moja wamejigamba kuwa wamewakamata wauza mafuta wengi sana wanaochakachua mafuta:

Kama hii ni Kweli? Mmewahi kusikia wakiwataja wamiliki hao na kutangaza waziwazi?
Amesema gari yako ikiharibika kwa sababu ya mafuta kuchakachuliwa wanahakikisha umepata gari mpya: Je kuna ushuhuda wowote juu ya hilo kwa watanzania wenzangu?

Kama hii si kweli kwanini anadanganya wananchi???
 
walimpiga fain jamaa mmoja wa moshi aliweka gari la ikulu mafuta
yaliyochakachuliwa likagoma kuwaka
anaitwa epimack lasway wa rafiki petrol station
kama sikosei milion tano or miaka mitano saomething like that
nimesahau kidogo fain ilikuwaje
 
Ewura kazi yao ni kutangaza ongezeko la bei ya mafuta na nauli za mabasi tu.
 
Back
Top Bottom