pass over
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 332
- 276
Mbona kawaida gypsum kuzid mbil,bat mojaKuhusu mafundi Sina hata la kusema hao watu wamefanya hata nashindwa kufurahia hatua nayopiga kwenye ujenzi
Walizidisha nondo kama nne =10000
Bati Moja 27000
Bodi za gypsum 2 =30000
PVC walizidisha
Mbao za kupaulia ndio kabisa walizidisha ila bahati nzuri nilishaleta mtu akanipigia hesabu nilienda kununua Kisha nikasimamia kwa umakini zikatosha walishindwa kabisa kujiamini
Dah!ujenzi Mungu ndie anatupa amani ila unaumiza sana