Umewahi kuishi bila ya kazi ya kukuingizia kipato? Kwa muda gani? Na ulikuwa unapata wapi chakula na mahitaji muhimu ya maisha?

mchonjoya

Member
Aug 17, 2016
80
198
Habari members,

Kiukweli haya maisha hayana mwenyewe.

Nikirudisha nyuma kumbukumbu zangu za kimaisha siamini kama leo hii nakula ninachotaka na sio ninachopata.

Kuna kipindi wakuu maisha yanakupitisha katika mapitio magumu ili iwe fundisho kwako na kukujenga kimaarifa. Pia, pia upate kutambua nani rafiki na nani adui.

WANDUGU
kuna kipindi nilikula msoto tena msoto hasa kiasi nikiaa mwenyewe machozi yananitoka. Maisha magumu hakuna mfano wake. Best zangu wote hawana habari tena na Mimi.

Naishi kwa kuzurula tu hapa mjini. Nyuma nina mke na watoto wawili. Nyumba ya kupanga Kodi inakaribia kuisha, chakula shida, kila kitu shida.

Nilipigika aisee vibaya sana. Pamoja na lumba hilo nilikuwa nawai kuondoka nyumbani kwenda kusiko julikana na kurudi usiku. Sikuchoka kuondoka nyumba na kwenda kutafuta riziki, sikuwahi kuonyesha unyonge kwa wapangaji wezangu, sikuwahi kujishusha kama MWANAMME nilijikaza kama sifa ya wanaume inavyosema (mateso).

Siku moja nikiwa nyumbani siku ya jpili nikiwa na family yangu nyumbani wife aliniambia amechoka kuishi maisha ambayo hayafuraii. Anataka kuondoka aende kwao na watoto atawachukua. Hakusema kwa maana mbaya no, lengo kunipunguzia mzigo wa majukumu.

Kiukweli niliumia sana mpaka mwanamke ananionea huruma, maana yake mimi sitoshi, na siwezi tena kulea familia. Nikamwambia nijibu maswali haya matatu kisha uende.
(1)Una uhakika na huko uendako maisha yatakuwa unavyotaka?
(2)Je, unaikumbuka kanuni ya NDOA?
(3)Nani mwenye kujua kesho yake?

Wazee sikuongea tena. Tumelala tumemka salama. Nikiwa kitandani wife akanigusa bega na KUSEMA TUTAKUFA WOTE, TUTADHALILIKA WOTE.

Wazee nilipata nguvu ya ajabu sana kuona mke kaongea maneno ya kishujaa. Kiukweli kuazia hapo sikuchagua cha KUFANYA hatimae nimevuka kipindi kigumu kilichodumu takriban miaka na miezi toka kufilisiwa na bank.

Je, Wewe uliishije kipindi huna mishe?

Njia gani ulikufanya ukatoboa?

WASHIKAJI SIO WATU. USIWEKE KISASA ILA USIWASAHAU.
 
Naomba kabla ya yote badilisha kwanza hilo neno hapo kwenye heading liwe 'Bila' na sio 'Bira'

Yaani mtu kama wewe ukute umefika kabisa darasa la saba na bado unaandika bira badala ya bila

Waajiri wengi wanaangalia kuanzia uandishi wa barua yako ya maombi ya kazi anaona huyu kilaza siwezi kumuajiri.
 
Habari members.
Kiukweli haya maisha hayana mwenyewe.

Nikirudisha nyuma kumbukumbu zangu za kimaisha siamini kama leo hii nakula ninacho taka na sio ninacho pata. kuna kipindi wakuu maisha yanakupitisha,katika mapitio magumu ili iwe fundisho kwako,na kukujenga kimaarifa. Pia, pia upate kutambua nani rafiki na nani adui.

WANDUGU.
kuna kipindi nilikula msoto tena msoto hasa,kiasi nikiaa mwenyewe machozi yana nitoka.maisha magumu hakuna mfano wake. Best zangu wote hawana habari tena na Mimi.

Naishi kwa kuzurula tu apa mjini. Nyuma nina mke na watoto wawili. Nyumba ya kupanga Kodi inakaribia kuisha, chakula shida, kila kitu shida.

Nilipigika aisee vibaya sana. Pamoja na lumba hilo nilikua nawai kuondoka nyumbani kwenda kusiko julikana na kurudi usiku. Siku choka kuondoka nyumba na kwenda kutafuta ridhiki,sikuwahi kuonyesha unyonge kwa wapangaji wezangu, sikuwai kujishusha kama MWANAMME nilijikaza kama sifa ya wanaume inavyo sema (mateso).

Siku moja nikiwa nyumbani siku ya jpili nikiwa na family yangu nyumbani wife aliniambia amechoka kuishi maisha ambayo hayafuraii. Anataka kuondoka aende kwao na watoto atawachukua. Hakusema kwa maana mbaya no, lengo kunipunguzia mzigo wamajukumu.

Kiukweli niliumia sana mpaka mwanamke ananionea huruma, maana yake mimi sitoshi, na si wezi tena kulea familia. Nikamumbia nijibu maswa haya matatu kisha uende.
(1)Una uhakika na huko uendako maisha yatakua unavyo taka?
(2)Je, unaikumbuka kanuni ya NDOA?
(3)Nani mwenye kujua kesho yake?

wazee sikuongea tena. Tumelala tumemka salama. Nikiwa kitandani wife akanigua bega na KUSEMA TUTAKUFA WOTE, TUTADHALILIKA WOTE.

wazee nilipata nguvu ya ajabu sana kuona mke kaongea maneno ya kishujaa. Kiukweli kuazia hapo sikuchagua cha KUFANYA hatima nimevuka kipindi kigumu kilicho dumu takriban miaka na miezi toka kufilisiwa na bank.

****
Je? we ili ishije kipindi huna mishe?
Njia ngani ulikufa ukatoboa?

Tueleze ulivyotusua tena, ili tujifunze
 
Naomba kabla ya yote badilisha kwanza hilo neno hapo kwenye heading liwe 'Bila' na sio 'Bira'.

Yaani mtu kama wewe ukute umefika kabisa darasa la saba na bado unaandika bira badala ya bila.

Waajiri wengi wanaangalia kuanzia uandishi wa barua yako ya maombi ya kazi anaona huyu kilaza siwezi kumuajiri.
Nyie waalimu wa kiswahili mnasumbua sana. Sio kila wakati unatakiwa kukosoa. Jadili hoja iliyopo mezani
 
LA muhimu ni kupata neno LA faraja kutoka kwa mkeo wako. Kitu ambacho wanaume wengi hukosa kipindi Wanapitia misukosuko ndo Inawapelekea kutonyanyuka tena. Maana akirudi nyumbani anakutana na Masimango kila kona inamuua kila kitu. Kudos kwa mkeo siku ukimuacha naomba nimuoe
 
Naomba kabla ya yote badilisha kwanza hilo neno hapo kwenye heading liwe 'Bila' na sio 'Bira'.

Yaani mtu kama wewe ukute umefika kabisa darasa la saba na bado unaandika bira badala ya bila.

Waajiri wengi wanaangalia kuanzia uandishi wa barua yako ya maombi ya kazi anaona huyu kilaza siwezi kumuajiri.
Mjomba unaleta kiwingu hapa, kwan kakuomba kazi ?
 
Haya maisha nimepigikaa mpaka ikafikia hatua nikazoea hali ya chini kabisa, kias kwamba nilivokuja kupata ajira rafk zangu wengi wa ukweli ni watu wa hali ya chini kabisa na niliapa sitawaacha kamwe nna plans nyingi za kuinua vijana wenzangu...

Kwenye marafiki unanitonesha kidonda, kiufup sasa hv kama ntaendana na mtu bas ntamfanya awe ndugu yangu, kama ni mishe mishe tunakua partners tu.. sitak marafk kabisa..mke wang na mtoto wananitosha kabisa urafiki wao wa ukweli. FVCK SNITCHES

Cha mwisho nashaur wadau wote wanaopitia kipindi kigumu kubadili mazingira, usikae sehem moja muda mref sana kama mambo hayaend hata kidin upande wetu tunashauriwa hijra yan kuhama kutafuta better life..nishahama zaidi ya mikoa minne kutafuta na kote nina ndugu wa kufikia watu walionithamin wakat sina mia mbovu! Ubarikiwe mkuu 🤝
WASHIKAJI SIO WATU. USIWEKE KISASA ILA USIWASAHAU.
 
Back
Top Bottom