umewahi kufanya hivi?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Habari zenu JF!
Si vibaya tukazoea kuweka kumb kumb kwa haya:
1- Wale wana ndoa baada ya ku do unaandika leo nime....mara....
2-Wale wasioa wakizini nao waandike leo nime .... Mara....
3- Hili naona litasaidia kujua na kugundua matatizo mengi utayohisi kuyapata kutoka kwa mwenzio.
Ikifanyika hivi kwani itakuaje?
Mtazamo tu!
 
Itakua ni vzuri. Na hili wataolitekeleza ni wale wali makini.
Kwa mimi nimezoea kuweka kumbu kumbu mambo yangu muhimu na hili ni muhimu pia.
Pia siwezi kua na do siku zote so itakua rahisi hata ingekua kila siku nigewea kumb kumbu.
 
:hand:...... :hand:..... :hand:...... :hand: ........:hand:.........!!!!!!!:attention:
 
Hivi vitoto jamani aakkhhh vinaudhi jukwaa lao lini linaanza bana??? Mod hebu tutendeeni haki
 
Hivi vitoto jamani aakkhhh vinaudhi jukwaa lao lini linaanza bana??? Mod hebu tutendeeni haki
Nakuheshim kwa kukurupuka kwako Desidii....
Kuna ajbu gani ukaweka kumb kumb kwa wiki ume do mara ngapi? Au kwa mwezi ume do mara ngapi? Hadi kwa mwaka ume do mara ngapi? Ujiwekee tathmin kama unavyofanya mambo yako mengine!
Hata hivyo najifunza kuwajua member kama ww!
 
Mimi huwa naweka "stop watch" ili niweze kujua nimeshusha mzigo baada ya dakika ngapi!!!
Ukiwa hivyo mkuu hata mambo yako mengine utakua makini.
Nimefurah kwa umakin huo!
Kwa wiki unatumia muda gani? Je hali yako kiafya ikoje?
 
Nakuheshim kwa kukurupuka kwako Desidii....
Kuna ajbu gani ukaweka kumb kumb kwa wiki ume do mara ngapi? Au kwa mwezi ume do mara ngapi? Hadi kwa mwaka ume do mara ngapi? Ujiwekee tathmin kama unavyofanya mambo yako mengine!
Hata hivyo najifunza kuwajua member kama ww!

Hapo kwenye red nakuacha
 
Do you note down everything you do in life? Only few things which needs to be reminded later not every act!
 
Back
Top Bottom