Michelle JF-Expert Member Nov 16, 2010 7,621 3,513 Jan 28, 2011 #21 Keep writing/thinking ,someday you will write/think something intelligent......:coffee:
MADAM T JF-Expert Member Oct 21, 2010 5,207 2,387 Jan 28, 2011 #22 He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani?
He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani?
N Ndevu mbili JF-Expert Member Jan 11, 2011 379 40 Jan 29, 2011 #23 MADAM T said: He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani? Click to expand... Ninaona uaminifu kwetu ni matata! Hili nalo ni uchonganishi? Unahofu nini kama upo nae pekee?
MADAM T said: He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani? Click to expand... Ninaona uaminifu kwetu ni matata! Hili nalo ni uchonganishi? Unahofu nini kama upo nae pekee?