umewahi ishi mazingira haya

mbona hapo mswano tu??!!
Ndo maana wake zetu wakitushauri kujenga Kibamba kwanza tunagoma, lazima tuweke mjengo kwetu kileji kwanza, tena wa heshima, kwa ajili ya kumenzi mzee na maza walokulea hapo kwenye hiyo nyumba.
 
Hayo ndiyo maisha ya watanzania wengi vijijini.Wewe unashangaa nini kwani unaishi wapi? hata hapa Dar wapo wanaoishi katika mazingira kama haya. Swali la kujiuliza tunafanya nini kuwasaidia watanzania wenzetu waondokane na maisha kanma haya? Tutafakari
 
umeongea point baba lao,haya ndio maisha yetu.
tufanyaje kuibadili hali.
NB:hata hivyo hii ni nyumba nzuri sana ukilinganisha na mbaya ninazojzijua mie.hii hata ukiwa hapo ndani unalala kabisa usingizi unakuja,jamani nyie acheni jamani,kuna watu wanaishi sehemu ambazo...basi tu ngoja ninyamaze.
 
lakini mtaji unao cheusi kwanini ukae mazingira hayo,kwa wewe hata utake ghorofa kumi utajengewa,km unabisha mm niko tayari kwako au vp.:)
 
mode fungieni huyu mutu ananikumbusha machungu ya maisha yangu.

Huyu Babukijana inaelekea ni borntown, tena town kwenyewe ni kule tunakuitaga "uzunguni". Tembelea maeneo mengine ya mjini, mbona hiyo nyumba ya kawaida tu.
BTW Nguli, I like your signature "Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them". Nimefurahia reasoning, ni kweli women are good advisers; ingawa sikubali kuwa women will never be as successful as men, labda kama tuna-compare in aggregate term sio individually.
 
hamna mkuu,nishadondokewa sana na matone ya mvua nilipolala kwenye nyumba kama hiyo,nakumbuka hata jinsi mwenyeji wangu alivyokuwa amepanga mabakuli na sufuria ndani maana kunavuja mbaya,ndio ikanigusa nikaileta hapa
 
Umejitahidi kujitetea. maana nilikuwa nashangaa wewe upo TZ au wapi? maana sisi waTZ hiyo ni nyumba ya kawaida kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom