Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

April26

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
1,403
2,118
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi.

Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi.

Watu wana jifadavua elimu zao kwa uwazi kwa lengo la kupata au kutafuta kazi.

So naomba kufahamu kama kuna shahidi wa moja kwa moja ambae amefanikiwa either kwa kutuma maombi au kwa kufuatwa na kampuni kutokana na kuona ana sifa wanazotaka.

Ahsante.
 
Nilitafutwa na mwajiri nikaudhuria interview, kila kitu kilikuwa sawa ingawa mpka leo hajawai Namibia chochote nmejaribu kumcheki WhatsApp anabluetick tu
 
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi.

Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi.

Watu wana jifadavua elimu zao kwa uwazi kwa lengo la kupata au kutafuta kazi.

So naomba kufahamu kama kuna shahidi wa moja kwa moja ambae amefanikiwa either kwa kutuma maombi au kwa kufuatwa na kampuni kutokana na kuona ana sifa wanazotaka.

Ahsante.
Nshapata kazi nyingi kupitia linkedin na nawafahamu watu wengi waliopata kazi kupitia linkedin tena kwa kufuatwa.
 
Back
Top Bottom