Umeshawahi kukutana na swali hili kwenye interview?

Du! hii kali, hv watz tumefikia hatua ya kuulizana kabila wkt wa interviw? hama kwel udn na ukbila havitatuacha salama!

Hiyo ni kweli.Kuna organization hawataki kusikia baadhi ya makabila kabisa!
 
Inaeleweka baadh ya makabila wanachapa kazi ikiwemo chaggas na baadhi ni wavivu so simply alitaka awe afigure out we ni wa upande upi.

Kuhusu meno ulibugi wachaga wana meno masafi hatar ungeniona mimi ndo ungeelewa haraka na sio sababu ya kuswaki sana bt kwasababu nimekunya yale maji ya direct from mount yanang'arishaje meno?achaaaaa kwa haraka hiyo jamaa ni ya mero au angle zingine za arusha cz na lafudhi inakarbiana na wachaga thts why ukahic ni chaga by u were wrong chalii
 
Ooh! Pole, mie mwenzako jana nimeambiwa your not handsome so will you use some cosmetics? Ili nishine kama wao! Nkawaambia ndio, nawaskilizia wakinipigia simu sipokei na siendi tena! Hahaha, bora niendelee kulima mboga zangu za majani tu shamba huku

Ungewajibu "take a good look, am too handsome to use additional cosmetics!"
 
Hiyo ni kweli.Kuna organization hawataki kusikia baadhi ya makabila kabisa!

Ni organisation yenye stupid HR ndio inaweza kuwa na fikra pumbavu kama hizo.....wakati wenzetu hivi sasa wamefikia hata hatua ya kutotaka ku-include marital status, gender and even age, TZ bado kuna wapumbavu wanaotamani hata kwenye CV tuandike makabila yetu.
 
Ubaguzi bongo upo kila nyanja,ukikutana na wa....zi kam wanazi wa UDSM si tuu watataka jua umesoma pale,ila pia uwe umesoma faculty sizizo na bifu na yao pale UDSM, wengine wakitaka jua kabila wanaanzisha kujichekesha na kukuchomekea "..Usije kuwa mtani wangu...wewe kabila gani? pia unaweza ingia line ukadhani tayari nina mtani ukataja au ukadanganya ili uingie.

Ungepaswa angalia post uliyoomba na record za wachaga katika hilo, kama ukion ahaijakaa vizuri na huwezi predict ungewatega kwa Kuwapiga swali la kijasiri katika nafasi ya maswali "hivi kabila nalo ni requirement?", wangeweza jichanganya na kushindwa uliza maswali na wangekuwa wakihisi isingekuwa nzuri kwa project yao ya kupeana ajira.Dar rushwa za kazi zipo juu sana kwa makampuni yenye watoto wa mjini wengi.
 
Back
Top Bottom