chitanda.nyoka
Senior Member
- May 3, 2012
- 193
- 43
naomba wana jf mnisaidie ujanja wa kufanya nnapokutana tena na swali kama hili maana nilipigiwa cm na kampuni inaitwa coseke ipo benjamini mkapa tower niliwahi kutuma maombi,nilianza kujiandaa nili download interview questions na jinsi ya kujibu na mengi ya hayo maswali niliulizwa kama nilivyosoma nikayajibu fresh hila swali la mwisho nikaulizwa hv ww kabila gani?nikawa namuangalia nikawa nataka nimwambie me mchaga coz jamaa meno yake km yameoza hl tuwe sawa,wakasema baada wk 3 watapga cm hadi leo mwez 2 kmya,mnaojiandaa na interview mjue interview questions kuna swali jipya mjue jinsi ya kulijibu