Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Wamezama moja kwa moja hawataki mawasiliano na nyie mlioko juu.Wazamiaji tupeni mrejesho.
Wamezama moja kwa moja hawataki mawasiliano na nyie mlioko juu.Wazamiaji tupeni mrejesho.
Uko sahihi kwa 100/% mpaka sasa sijapata maelezo ya kueleweka zaidi ya porojo tu.Mbona kama walioenda huko Deep Web hawarudi? Na waliorudi kama wanaweweseka hivi,
Kunani???
Nikajua nawe utaenda huko huko,Uko sahihi kwa 100/% mpaka sasa sijapata maelezo ya kueleweka zaidi ya porojo tu.
Wacha nigoogle tu huenda nikapata useful info.
Ni hatari mkuu du! Niliyo yakuta huko jana hatari tupu, kama huna moyo wa chuma nakushauri acha kabisa iphone yangu nimeiunguza nikiwa humo deepWazamiaji tupeni mrejesho.
Wengi wameshindwa kufungua chochoteNi hatari mkuu du! Niliyo yakuta huko jana hatari tupu, kama huna moyo wa chuma nakushauri acha kabisa iphone yangu nimeiunguza nikiwa humo deep
Wamezama moja kwa moja hawataki mawasiliano na nyie mlioko juu.
Unafanyaje usiache viashiriaa?Onyo...
Ukipita uko akikisha usiacha viashiria!!
wakuu mi nimeenda huko dark web ukisikia biashara haramu bas ndiyo sehemu yake huko .;mi nimeagiza AKA 47 moja inakuja wiki ijayo.
Teh teh teh afadhali umerudi.wakuu mi nimeenda huko dark web ukisikia biashara haramu bas ndiyo sehemu yake huko .;mi nimeagiza AKA 47 moja inakuja wiki ijayo.
Yani mkuu lile kundi lote lililoenda wamebahatika kurudi wawili tu, na hawasemi kilichowasibu, hata wenzao waliobaki hawajui kilichowapata.NiNimekuja kuchungulia kama wamesharudi uko waloenda Deep Web.