Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,705
- 12,784
Mkuu tunaogopeshwa ndio maanaWa tz bana.. kil kitu kutftniwa tu.. smartphone unayo ya nini sasa kama unataka upewe tuu? Go do ur research chaa!!
Mkuu tunaogopeshwa ndio maanaWa tz bana.. kil kitu kutftniwa tu.. smartphone unayo ya nini sasa kama unataka upewe tuu? Go do ur research chaa!!
Kama mimiHa ha ha. Mi mwenyewe nlikua naskizia sound nyuma ya spika... We ulidhan mi ndo kimbelembele... Mwenye mrejesho atupe taarifa
Nasikia ukiingia kitu cha kwanza unarudishiwa jini ili uwe access wa hukoMbona kama walioenda huko Deep Web hawarudi? Na waliorudi kama wanaweweseka hivi,
Kunani???
....labda wamebakwaYani mkuu lile kundi lote lililoenda wamebahatika kurudi wawili tu, na hawasemi kilichowasibu, hata wenzao waliobaki hawajui kilichowapata.
Huyu wa kwanza karudi... AsavaliTeh teh teh afadhali umerudi.
Uwiii tumewakosa ndugu zetu.Nasikia ukiingia kitu cha kwanza unarudishiwa jini ili uwe access wa huko
Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa....labda wamebakwa
Teh teh teh, me simoooooo....labda wamebakwa
Ila anaweweseka hatoi maelezo ya kutoshaHuyu wa kwanza karudi... Asavali
Akienda inabidi tumfunge kamba mguuni ili iwe rahic kumvuta kama akikwama.Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa
Pengine wamemwambia asitoe siri za hukoIla anaweweseka hatoi maelezo ya kutosha
Mh!!! ....me sijui kupiga mbizi.Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa
MREJESHO
Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu...
Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tena
Ivi ni kweli au ? Maana wengine atujui manbo ya website tunasubiri mrejesho tujifunze kituMREJESHO
Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu...
Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tena