bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,010
- 736
Ha ha ha ha du! we jambazi usinichekeshe bna ina maana sheta ana shinda kwa mond au anafuata swimming pool.Shetta kutwa nzima ni kushinda nyumbani kwa diamond mbaya zaidi anaenda na familia yake pooooooor kishetttaa!!