Umeshaisikiliza 'Shika adabu yako' ya Ney wa Mitego?

Duu huu wimbo nimecheka sana hasa pale pa dj choka kukosa hadi godoro...
 
Hivi kijana kuishi kwao kuna tatizo gani? si maamuzi tuu? huyu nay nae anatafuta kiki coz nyota yake kwishinei


Mkuu kuanzia miaka 18 milango iko wazi kuondoka nyumbani, ukichelewa mpaka umefikisha 24 bado uko home ujue unawaletea gozigozi ila wanashindwa kusema. Sasa huyu miaka 35 bado anapishana mlangoni kwenda chooni na mama bado unauliza kunaubaya gani, kweli?
 
Back
Top Bottom