๐—จ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜‚ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ ๐—ž๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜„๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐˜„ ๐Ÿญ๐Ÿฌ ??

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Inawezekana umeweka password ya ku login Kwenye window 10 alafu ukasahau password yake Je ndo hu format window nzima ??

View attachment 2765995

Hapana Leo nakuambia nini ufanye ikitokea kompyuta uliyonayo umesahau password na ukumbuki kabisa Angalizo makala hii kwa ajili ya kujifunza TU.

Kuna njia nyingi ya kuondoa password Kwenye window 10 au 11 bila ku login Lakini Leo tunatumia Cmd (command prompt)

Hakikisha TU Unayo flash yenye window kama iliyopo Kwenye kompyuta Yako kama ni window 10 hakikisha flash inayo window 10 au kama window 11 basi hakikisha unayo window 11 Kwenye flash.

View attachment 2765999

Chomeka flash Kisha fanya kama unapiga window Kisha itakuja sehemu ya window set-up >> bonyeza Next Kisha Repair your computer>>troubleshooting
> Advanced options >> command prompt

View attachment 2765996

View attachment 2765997

Utatokea uwanja mweusi Sasa Andika hizi code Kwenye hiyo Cmd
c:
cd windows\system32
copy cmd.exe cmd.exe.ori
copy osk.exe osk.exe.ori
del osk.exe
ren cmd.exe osk.exe

replace-onscreen-keyboard-with-cmd.jpg


Ukimaliza Sasa funga Cmd Kisha bonyeza>> continue kwa Ajili ya ku boot kompyuta Yako. Itawaka usiweke password tafadhari pembeni utaona Ease to access Kisha chagua on screen keyboard.

images%20-%202023-09-29T093027.450.jpg


View attachment 2765998

Utaona command prompt inajitokeza Kwenye Kwenye kompyuta Yako Kisha andika command zifuatazo

net user username " "

Kwenye username weka username ya kompyuta Yako

Mfano Andika hivi net user Tody ""

word-image-416614-12.jpg


Baada ya hapo funga command prompt Yako Kisha gusa Kwenye login au sign in utaweza ku login Kwenye kompyuta Yako.

word-image-416614-13.jpg
 
Back
Top Bottom