Umeme wa Dowans

Biera

JF-Expert Member
Dec 7, 2010
464
78
Wadau katika pitapita zangu leo mjini nimewasikia watu wanasema umeme wa dowans umewashwa..kama kuna m2 ana habari kamili naomba atujuze.Nawasilisha!
 
Mitambo ya DOWANS inafanya kazi kuanzia jana 24/7...

Unataka kuwasaidia mafundi wa pale?
 
Wadau katika pitapita zangu leo mjini nimewasikia watu wanasema umeme wa dowans umewashwa..kama kuna m2 ana habari kamili naomba atujuze.Nawasilisha!

Kabla hujapost, jaribu kuperuzi updates za threads kwenye forum. Kuna thread inazunguka tangu jana kuelezea hilo.
 
DOWANS wamewasha 40MW - kufidia mtambo wa Songas ambao umewaka moto (Ni makubaliano kati ya Songas na DOWANS)!
Duh...it seems haujapunguza mgao maana ume2mika kujazia ule uliokuwa unazalishwa na Songas..
 
Back
Top Bottom