mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,011
- 246
Nipo k'nyama huku umeme umezima mida hii ya saa 6 na dk 16....je hapo ulipo wewe umezima?
Arusha hapa umekatika pia.Nipo k'nyama huku umeme umezima mida hii ya saa 6 na dk 16....je hapo ulipo wewe umezima?
Ndiyo matokeo ya kuwa na Serikali taahira. Haijui ifanyalo pamoja na kuwa madarakani kwa miaka sita sasa.
Serikali sio mungu kua itanyeshesha mvua,wala sio majenereta kwamba itazalisha umeme! Muache jk wa watu ale upepo banaa
Serikali sio mungu kua itanyeshesha mvua,wala sio majenereta kwamba itazalisha umeme! Muache jk wa watu ale upepo banaa