Umeme umezima kote?

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Nipo k'nyama huku umeme umezima mida hii ya saa 6 na dk 16....je hapo ulipo wewe umezima?
 
Ndiyo matokeo ya kuwa na Serikali taahira. Haijui ifanyalo pamoja na kuwa madarakani kwa miaka sita sasa.
 
Serikali sio mungu kua itanyeshesha mvua,wala sio majenereta kwamba itazalisha umeme! Muache jk wa watu ale upepo banaa

Dah! haya banaa! Wacha giza litande nchi nzima, uzalishaji ushuke kwa kiwango kikubwa, watu chungu nzima wapoteze ajira, Serikali ishindwe kukusanya kodi kama ilivyotegemea, Gharama za maisha zipae....Huku nchi za majirani zinapiga hatua na kutuacha kwa masafa marefu....Ndiyo bongo hiyo!!! Akili mkichwa!!!..
 
Nipo guest halafu wamekata, shughuli yote imeharbka hapa. Tuliwasha tv il kuzuia sauti zetu zisicsike lakin tushaumbuka.
Hapo ni sawa na kutia naz kwenye kongoro
 
@Mysteryman uko Tanesco mkuu? Jikoni kabisa? Utani bwana ila hi mada naona umelenga hii itakua nchi nzima.... sasa sijui ndio nini tena hii jamani... ngoja tusikie kesho
 
Serikali sio mungu kua itanyeshesha mvua,wala sio majenereta kwamba itazalisha umeme! Muache jk wa watu ale upepo banaa

Na wewe naanza kudoubt uwezo wako wa kuwa thinker how great can think like that?.
 
Back
Top Bottom