Kwenu umeme upo? Kuanzia Mbezi, Kibamba, Goba hadi Ubungo na maeneo mengi hayana umeme

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,083
18,177
Tangu saa 12 hatuna umeme, kwenu je?

Kwenu umeme upo? Kuanzia Mbezi, Kibamba, Goba hadi Ubungo na maeneo mengi hayana umeme

Hili shirika daaah
 
Poleni. Huku kwetu tulikuwa na tatizo kubwa la low voltage kwa muda mrefu. Sasa hivi limeisha kabisa kwa hili Tanesco nawapongeza.
 
Tokea saa 12 hatuna umeme kwenu jee

Kwenu umeme upo? Kuanzia Mbezi, Kibamba, Goba hadi Ubungo na maeneo mengi hayana umeme

Hili shirika daaah

Piga #0748 550 000 namba ya Dharura ya TANESCO utoe taarifa LAKINI kama wana taarifa tayari, unaweza kujulishwa Tatizo lililo sababisha kukosekana kwa umeme na mategemeo ya Umeme kurudi
 
IMG-20240507-WA0008.jpg
 
Siku hizi TANESCO wanajitahidi kutoa taarifa kabla za kukosekana kwa huduma na maeneo husika kupitia Instagram labda iwe dharura.
 
Back
Top Bottom