Umeme kama ukimwi

wakitei

Member
Jul 18, 2011
77
4
HIVI
rais wangu kikwete uling'ang'ania kuingia ikulu mwaka jana mpaka wanaharakati kupigwa mabom , tukawekwa ndani katika vituo vya police halafu kitu kidogo UMEME unakushinda ?kwani kwani hili tatizo la umeme lilianza 2006? miaka yote hiyo mmeshindwa kulifanya kazi na kulitatua na mmebaki na mipango ya DHARURA kila mwaka Umeme imekuwa kama ugonjwa wa UKIMWI - hauna tiba .tupate dawa za kuongeza siku .
 
Back
Top Bottom