Umeme huku kwetu Kila siku unawaka na kuzima zaidi ya mara 20

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,267
Kipindi Cha Jua Kali mgao ulikuwepo mkali sana mnaweza kukaa masa 8 Hadi 12 bila ya umeme ila ukiwaka mnaendelea na shughuli zenu

Baada ya mvua kunyesha na mabwawa kujaa maji Tanesco wameanza hu mtindo wa kuzima na kuwasha Kila siku inafika mara 10

Leo tokea saa Moja asubuhi Hadi Sasa sa tano umeshakatika na kuwaka mara nne nahvii Sasa umekatika

Hu ni mwezi Sasa tokea hili tatizo lianze hivi ni kweli Tanesco wameshindwa kutibu hili tatizo

Au Kuna hujuma hapa Tanesco wanataka mama aonekane kazi imemshinda maana Mimi siamini eti mwezi mzima mafundi wa Tanesco washindwe kutibu hili tatizo

Mama sikia Watumishi wa Tanzania hawawezi kufanya kazi bila ya kusukumwa na kutumbuliwa
 
Inaonesha Tanesco wanawajali kwa kucheki ubora wake kila mara.
 
20240121_100129.jpg
 
Huwa nashangaa mtu anapata chance ya kwenda Europe lakn baadae anarudi Bongo, HOW? LI nchi lenyewe halieleweki hili
 
Kipindi Cha Jua Kali mgao ulikuwepo mkali sana mnaweza kukaa masa 8 Hadi 12 bila ya umeme ila ukiwaka mnaendelea na shughuli zenu

Baada ya mvua kunyesha na mabwawa kujaa maji Tanesco wameanza hu mtindo wa kuzima na kuwasha Kila siku inafika mara 10

Leo tokea saa Moja asubuhi Hadi Sasa sa tano umeshakatika na kuwaka mara nne nahvii Sasa umekatika

Hu ni mwezi Sasa tokea hili tatizo lianze hivi ni kweli Tanesco wameshindwa kutibu hili tatizo

Au Kuna hujuma hapa Tanesco wanataka mama aonekane kazi imemshinda maana Mimi siamini eti mwezi mzima mafundi wa Tanesco washindwe kutibu hili tatizo

Mama sikia Watumishi wa Tanzania hawawezi kufanya kazi bila ya kusukumwa na kutumbuliwa
Nchi ya hovyo viongozi wa hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom