Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,136
- 13,258
mshindwe na mlegezwe,
nitawageuza nyani mimi?
Au humjui kama baba yangu ni dr nanilii wa pale mwananyamala?
Nitawatumia popobawa hapo mlipo.
tumia bluetooth ya kiafrika aka sayansi mwitu.
mshindwe na mlegezwe,
nitawageuza nyani mimi?
Au humjui kama baba yangu ni dr nanilii wa pale mwananyamala?
Nitawatumia popobawa hapo mlipo.
bado tunajibu suali au tumeshaingia kipindi cha salam?
Kwa heshima ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ntakujibia PM. Ila nakutahadharisha, cheza mbali na Madame B. Mziki mkubwa huo tuachie wakongwe tulioshindikana LOOL
Wewe acha kunionea wivu,
utaiacha dunia ingali bado unaipenda.
Marahaba hujambo princes
Yupo pemben amekuona...wifi yako anadeka sanaa hataki ninyanyuke...