...Ume mpendea nini...

Wewe ume mganda charmglad mpaka katoka nduki...then ukamgeukia my shem eversmillgn

Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hapo ndo shida inapoanzia sasa,mi nimeomba kufundishwa kupenda tu tayari maneno,haya basi ummu kulthum usinifundishe kupenda tena naomba unifundishe kucheza baikoko tu...
 
Last edited by a moderator:
jamani mi nimempenda charminglady ile mbaya,kwanza kabisa nilicho mpendea ni ile kumtongoza akawa mkali,akanitotea maneno mazito,akachukia mpaka basi,basi mie hupagawa napenda sana mwanamke msumbufu atongozwapo,mkali,mchungu.asiwe mwepesi kama Madame B
 
Mh Madame B leo nimemuomba anielekeze njia anayopita nimuone tu kaogopa nitamng`ata,ndio mwepesi huyo..??
 
Last edited by a moderator:
Mh Madame B leo nimemuomba anielekeze njia anayopita nimuone tu kaogopa nitamng`ata,ndio mwepesi huyo..??

yani kwa Madame B mbona mwepesi tu,yani ile kumuomba tu tayari ananza kutoa mojamoja kabla hata ajakukubalia,na ukichelewa kumuomba anakuomba yeye sasa ukae tayari,anakwambie yeye mtoto wa mjini,jijini hakuja kama sisi tulikuja kwa train bali kazaliwa
 
Dah..!!! habri njema sana hii ustaadh,wacha niyahifadhi maneno haya fo fyucha yuzi...
 
wakati ndio sasa ushawahi kukutana na mkweo gesti?
Ndo yatakayokukuta.
Jipe ma-hopu na Mtakatifu Paka huyo.
Vp lakini Cl ushaonana nae?

ha,ha,ha ukikutana nae si mnapeana tu!..kwa jinsi usivyo na hiana najua unaweza ukampagawisha mpaka akazimia,vip lakini huko kwa mtogole hamjambo?
 
Last edited by a moderator:
Mtogole??
Tye of food or cloth?

ha,ha,ha,ha,ha....usinivunje mbavu Madame B mi sitaki kucheka bwana nipo peke yangu hapa karabash naogopa watu wataniona chizi kucheka peke yangu.njoo basi upate moja au umefunga?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom