Umaskin na kupenda kwangu kumenifanya nikubaliane nae kwa kila alisemalo!!

Pamoja na kuwa huna fedha yaelelkea wewe ni mtalaam wa kitandani na unakuna haswa huko anakopata fedha anapapaswa tu !
Hongera hicho ndicho kinachowaunganisha endelea kula mkuyati huku ukitafuta fedha !
Ukipata ndoa yenu itakuwa imara
ila ila sijui kama mtakuwa hai mpaka mfunge ndoa!
 
duh!! yaani hizi kesi kila siku tunatoa ushauri na haya haya yanajirudia... hii inaonyesha jinsi gani mapenzi ya kileo yalivyo wizi mtupu... mkubwa eeeee ngoja nisiume maneno, nayatoa kama yalivyo japo ni machungu "huna kitu hapo, huyo tayari keshaliwa na anakungóngá kisogo tu!! uamuzi wako kaka, kama kusuka ama kunyoa, maana ni wewe uliyeyavulia nguo maji, pima kama unaweza kuoga ama la... ila toka kwangu miye, hafai kuwa mke huyo"
 
Pamoja na kuwa huna fedha yaelelkea wewe ni mtalaam wa kitandani na unakuna haswa huko anakopata fedha anapapaswa tu !
Hongera hicho ndicho kinachowaunganisha endelea kula mkuyati huku ukitafuta fedha !
Ukipata ndoa yenu itakuwa imara
ila ila sijui kama mtakuwa hai mpaka mfunge ndoa!

Haha mh nataka kufika kwenye ndoa nikiwa salama!!bora niyaache mapenz kwa muda ili nijipange kwanza!!
 
Endelea kuwa na wapenzi nje ya ndoa ili upate UKIMWI ama amua ukaoe, mpime wote kabla ya kuoana muisjhi kwa amani na upendo. Nje ya hapo, you are a victim to be.

FF kuna kipindi anamaudhi but kunakipindi huwa ni mtamu mbayaaa... Umempa kijana maneno kuntu, akae apime mwenyewe. I love you FF.
 
Hivi umesema unasoma chuo gani vile?? Ili nisimshauri ama kumpeleka jamaa yangu yoyote akasome hapo maana ni lazima hicho chuo kitakuwa kinatoa vilaza.
 
Asante wajamen kwa ushauri mzr!!sasa naomba ushauri wa kusahau yale mazoea tulojijengea!!
 
Back
Top Bottom