Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

Unaelewa maana ya Demokrasia?. Unacholazimisha wewe ni Udikteta, eti kwavile unawasaidia watu basi wachague chama ukipendacho. Hiyo ni RUSHWA. Msaada wako usiwe sababu ya kuwashurutisha watu.

Mkuu hao wanaotamba kutoa misaada hawana lolote kama ni misaada basi wanasaidia ndugu zao, kama ni kweli wana ubavu wa kufanya hivyo. Watupe uthibitisho kwamba ukawa wakishinda wataondoa umasikini kwa kila mtanzania

Strategies za kuondoa umasikini zinaanza na mtu binafsi bila kujali mahaba aliyonayo kwa mgombea wake. Kazi ya serikali ni kukuekea miundo mbinu ya kukuwezesha wewe kuondoa umasikini wako.

Hao wanaotamba kutoa misaada wamekimbilia huko waliko wanafanya kazi za ovyo ovyo usiku na mchana ili waendelee kuishi huko. Ningewaona na busara iwapo wangewaambia watanzania jinsi wao huko waliko wanavyotumika na kwamba wanakula kwa jasho badala ya wao kuungana na wanasiasa wanaowadanganya kwamba umasikini utaondoka kwa kushabikia siasa.
 
Niko Ulaya kwa miaka 12 sasa. Ninafanya kazi yenye kipato kizuri sana. Mara nyingi nimekuwa nikitoa misaada kwa watu mbalimbali wanaoniomba kwa kuwa wana maisha magumu. Nasikitika kusema kuwa tangu sasa nasitisha misaada hiyo rasmi! Watanzania wanajitakia dhiki wao wenyewe.

Mkuu hio misaada ndio inawalemaza kama viongozi wao. Wanao kuomba omba misaada ndio njia peke iliobaki ya kuendesha nchi.

Kwahio hio misaada yako imewawezesha kula ubwabwa na kuangalia ligi ya uingereza maisha yao yamekamilika hapo.

Ndio maana wanasema badala ya kumpa mtu samaki, mpe ndoano akavue.
 
Niko Ulaya kwa miaka 12 sasa. Ninafanya kazi yenye kipato kizuri sana. Mara nyingi nimekuwa nikitoa misaada kwa watu mbalimbali wanaoniomba kwa kuwa wana maisha magumu. Nasikitika kusema kuwa tangu sasa nasitisha misaada hiyo rasmi! Watanzania wanajitakia dhiki wao wenyewe.

Yaani hata mimi, mbaya zaidi kuna watu hali zao mbaya lakini nikiwaambia chagua upinzani hawakutaka. Tena wanapigia debe chama tawala, sasa nitakuwa nawaangalia tu.
 
Yaani hata mimi, mbaya zaidi kuna watu hali zao mbaya lakini nikiwaambia chagua upinzani hawakutaka. Tena wanapigia debe chama tawala, sasa nitakuwa nawaangalia tu.

Nyie mnaojifanya watoa misaada ni wakimbizi tu huko mliko hamna lolote. Hamna thamani yoyote huko mliko zaidi ya ubangaizaji kwa kufanya donky-works. Wenye akili timamu huja huko kwa mapumziko then kurudi nyumbani.
 
Kama matoke yanaendelea hivi hivi na ccm ikapita
Na kama mimi ndio ningekuwa ndio kiongozi wa nchi za ulaya na ndio natoaga misaada ya kuisaidia tanzania naweza nikasitisha misaada yote kuanzia dawa za kuongeza siku. Na nisingeweza kuwasaidia watu ambao hawana akili kikawaida inabidi umsaidie mtu halafu baadaye nayevaweze kujitegemea na ndio maana muheshimiwa lowasa hawa watu alitaka kuwasaidia kwa kuwapa elimu bure lakini watu hawa hawataki wanini dawa ni kuachana nao na kuwatupa kule.
 
Kwa ujumla ni kwamba Umasikini wetu utakaoendelea kuwepo Tanzania ni wa kujitakia.
Na nchi itaendelea kunyonywa na kuwafanya wachache kuwa mabepari na matajiri na wengine
kuendelea kuwa masikini. Inasikitishaa sanaa.
Maoni yangu::::

hivi mlitegemea upinzani wabadili kila kitu ndani ya miaka 5, 10, 15 !? ...mungu epushia mbali.
 
Niko Ulaya kwa miaka 12 sasa. Ninafanya kazi yenye kipato kizuri sana. Mara nyingi nimekuwa nikitoa misaada kwa watu mbalimbali wanaoniomba kwa kuwa wana maisha magumu. Nasikitika kusema kuwa tangu sasa nasitisha misaada hiyo rasmi! Watanzania wanajitakia dhiki wao wenyewe.
Pole sana. Inategemea kama msaada huo ulikuwa wa kuwakomboa au kula tu. Mvuvi ili aendelee inabidi umpe mtumbwi na ndoana. Ukimpa samaki akishammaliza biashara imekwisha. Akija mtu akampa andazi la kujikimu leo hawezi kukumbuka samaki ya jana
 
Safari hii watu wameambia wachague kati ya andazi (ccm) na mtumbwi+ndoana (ukawa). Wamechagua andazi...sasa wacha wavune walichopanda.
 
Post kama hizi zina onyesha wazi kuwa bado kuna wajinga wanao amini kwamba Raisi atakaye toka nje ya ccm atagawa pesa za bure na kumaliza umasikini!! Wewe tembea ujionee nchi nyingi tu zilizo Endelea kuna Masikini wa kutupa, fanya shuguli zako na zingatia kwamba Maisha Bora una yaleta wewe mwenyewe kwenye Familia Yako ila ukipweteka basi utabaki una lialia kama ivo, hii ni siasa wapo wengi Matajiri walio ichaguwa ccm na wengine chadema na wengine hata kura hawajapiga sababu hawafikirii kupata Pesa toka kwa lowasa wala Magufuli, kila mtu ana Haki ya kufanya mahamuzi Yake ya Msingi na usisahau kwamba ili ni swala la kuaminia mtu Fulani na wapo wasio Muamini Magufuli na wapo wasio Muamini Lowasa kama mimi mwenyewe, msahada wako weka mfukoni ila jua nawewe pia ulisaidiwa au utaitaji msahada na kumbuka Bado unatowa msahada ukiwa Tanzania ndani ya utawala wa ccm! Yaani kama una chochote basi shukuru MUNGU tu sababu hujapata hayo chini ya utawala wa chadema, na kama uko ulaya wapi hayo yote yamefunguliwa na ccm hiihii ambayo inaongoza nchi Hata Marekani wana sahidiana, nyie waswahili mnajitangaza kutowa misahada Hewa hapa! Ujinga tu, kama una hasira na ccm basi jiuwe sababu ccm ipo na ita endelea kuwaepo na siku ikifika basi ita achia Madaraka, sio kwa fisi lisilo Aminika

Acha mahaba ''niuwe" ya kichama chambua mambo na utoke nje ya boksi utaelewa miaka 50 ni kitu gani kwa maendeleo.Upo hapa ili uwe mchambuzi mzuri wa siasa ya Tanzania unaonekana hata kiswahili chsko ni cha ''ugoko"ishara kwamba hukupitia darasani.Tunaposema kwa miaka 50 Serikali ya chama cha kijani imetumaskinisha tunazo hoja ambapo kwa miaka 50 iliyopita Tanzania ilikuwa sawa na nchi kama India,pakstani, korea na china baada ya hapo wenzetu walizidi kupiga hatua kwa mipango endelevu ya kimaendeleo kwa miaka mitano mitano wakafanya ''leap forward" sisi tumeua mashirika zaidi ya 150 aliyoyaanzisha mwalimu tumekosa dira na tumepoteza maono na mwelekeo wa Taifa.Tunahitaji kutoka kwenye mfumo wa chama kinachoshawishi wawekezaji waje kuwekeza alafu wasilipe kodi kama GSM na wengine alafu uko hapa kutuletea mahaba niuwe yako ya kichama watu kama nyie ningekuwa na uwezo ni kuwaacha mpotelee katika njia yenu ambayo inawaongoza kwenye umaskini wa kutupwa unafikiri sisi hatupendi kutajwa kwenye medani za siasa kama nchi inayokuwa kwa kasi kimaendeleo
Toa mahaba yako hapa tetea hoja iliyopo jukwaani!
 
Wote mnaomuunga mkono mtoa mada ni mambumbumbu hasa. Hivi upinzani huu kweli unaweza kuiletea nchi yetu maendeleo? Hivi nyie mnaijua ccm kweli? Hivi nyie mnamjua Lowassa na madhara aliyoiletea ccm? Hicho mnachokiikita MFUMO mnakielewa? Je, kweli mnadhani Mbowe na genge lake wanadhamira njema na nchi hii? Mnawafahamu walio nyuma ya wapinzani hawa na nia yao? Je, mnajua ni kwanini Lowassa tangu enzi ya Nyerere anakataliwa? Tafuteni kuzijua siasa za Tz.

wewe kepler unayeijua CCM zaidi hebu tueleze vizuri huo uzuri wake vs ubaya wa Lowassa. Mwaga hapa data za hilo genge lililo nyuma ya wapinzani. Tutatafutaje kuzijua siasa kama data zao mbayo mnazo na mmezihold bila sababu maalum?
 
Sasa nimeamini kuwa umasikini wa Watanzania walio wengi ni wa kujitakia.
Nasema hivi kwa kuangalia jinsi kampeni za uchaguzi zilivyokuwa na jinsi
matokeo yanavyoendelea kutangazwa. Niliamini kuwa sisi watanzania tumetambua
chanzo cha umasikini wetu ni CCM na viongozi wake. Na hii ndio imefanya uchaguzi
wa mwaka huu kuwa wa msisimko mkubwa na hata kuwapa kazi kubwa wazee wa CCM
waliostaafu, vijana wa CCM waliobahatika kupata mrija wa kupata chochote chini
ya CCM na hata wasanii wetu waliolipwa mamilioni ya pesa ili kuwashawishi
masikini waendelee kuichagua CCM. Niliamini tunajitambua na tunaelewa haki yetu ni
nini. Lakini kwa jinsi matokeo yanavyotangazwa, nimeamini kuwa umasikini wetu ni
wa kujitakia.
Ushauri Wangu:
(1) Kama ni kweli hizi kura ni za haki. Kwa kweli mtu yeyote akija kukuomba msaada
kwa maelezo yake kuwa maisha ni magumu. Mtu kama huyu hafai kusaidiwa kabisaaaaaa!
Maana mijini unaweza kutana na mtu anakuomba nauli au pesa ale. Mtu kama huyu
unaweza mfukuza tuu akaombe ofisi za kata.

(2) Vijana wengi wakilalamika kuwa hakuna Ajira. Kwa kweli nitabaki kuwaaangalia na
kuwa support wakiwa kwenye vigenge wanacheza bao.

(3)Wanafunzi wa vyuo wakilalamika mikopo inachelewa. Watu kama hawa unatakiwa kuwaangalia
tuu.

(4)Watu wakisema hamna madawa mahospitalini watu wanalala chini. Ni kuwaangalia na kuwaambia
mmejitakiwa wenyewe kwa kurudisha utawala ambao umeshindwa kuwa support miaka 54.

Kwa ujumla ni kwamba Umasikini wetu utakaoendelea kuwepo Tanzania ni wa kujitakia.
Na nchi itaendelea kunyonywa na kuwafanya wachache kuwa mabepari na matajiri na wengine
kuendelea kuwa masikini. Inasikitishaa sanaa.
Maoni yangu::::

Bwana William kwa kweli hata mimi pia nimesikitika sana ,kwa hali ya kawaida asilimia kubwa ya wapiga kura ni vijana, na katika takwimu wanawake ndo wanaongoza kwa wingi wa watu, vijana wa kitanzania na wanawake ndo walipaswa kuichange serikali coz they're conscious and powerful but I'm very very disappointed with what is going on and what's gonna happen. Kesho wanakuja vijana na kuanza kuomba misaada, wanawake ndo wanaotuzalia watoto na kujaza nchi na hao hao walalia kitanda kimoja hadi wengne wanalala chini kule hospitalini, I hate kwa haya maamuzi. Hata me pia ntaendelea kuisaidia familia yangu tuu. I'm very disappointed kwa kweli.
 
Unaelewa maana ya Demokrasia?. Unacholazimisha wewe ni Udikteta, eti kwavile unawasaidia watu basi wachague chama ukipendacho. Hiyo ni RUSHWA. Msaada wako usiwe sababu ya kuwashurutisha watu.

Wewe ni pumbavu
 
Wote mnaomuunga mkono mtoa mada ni mambumbumbu hasa. Hivi upinzani huu kweli unaweza kuiletea nchi yetu maendeleo? Hivi nyie mnaijua ccm kweli? Hivi nyie mnamjua Lowassa na madhara aliyoiletea ccm? Hicho mnachokiikita MFUMO mnakielewa? Je, kweli mnadhani Mbowe na genge lake wanadhamira njema na nchi hii? Mnawafahamu walio nyuma ya wapinzani hawa na nia yao? Je, mnajua ni kwanini Lowassa tangu enzi ya Nyerere anakataliwa? Tafuteni kuzijua siasa za Tz.

Acha kubwabwaja kama mama anae jifungua kama wewe unazijua siasa za Tanzania lete hapa sio kubwabwaja pumbavu kabisa wewe na mnafiki mkubwa wewe watu wanakufa maisha magumu madawa hakuna unaleta upuuzi wako hapa kafie mbali huko
 
Ww sio Mtanzania ila ni asylum seeker.
Mana =maana
Hauwiyani =hauwiani
Waloyaleta =waliyoyaleta
Kati ya hiyo miaka 50 hakuna kiongoz aliyewahi kutokea kama Dr Magufuri

"Magufuri"....asylum resident... tehe tehe, jipe moyo na huyo magufuri wako....
 
Unaelewa maana ya Demokrasia?. Unacholazimisha wewe ni Udikteta, eti kwavile unawasaidia watu basi wachague chama ukipendacho. Hiyo ni RUSHWA. Msaada wako usiwe sababu ya kuwashurutisha watu.

Wanufaika wa mfumo huu wa CCM utawajuwa tu.
 
Mkuu, kwakweli mi nakuona kama unatumia akili ya chama chako kutoa fikra hapa.Mimi cna chama ila sina imani wala kutaka chama cha CCM kiendelee na madaraka kwa sababu hizi:--ingawa kimetoa mafanikio ila hayana uhalisia na maisha ya sasa.-kudorora kwa uchumi na kupanda kwa maisha ingawa zamani sio sasa.-kuongezeka kwa umimi na kupungua kwa huruma kwa wananchi kutoka serekalini kwao.-majigambo ya chama tawala bila ya uhalisia wa mafanikio kulingana na majigambo yao.-mchi kuwa ya chama kimoja wakati wapo watanzania wengine wana vyama vyao.-matatizo ni mengi kuliko faida yenyewe.Mimi naona ifike siku hiki chama kikae pembeni na watanzania wengine nao watawale. Ingawa kinapendwa lakni wengio wao wamechoshwa na hiki chama, ingekuwa vyema tukashirikiana kukiondoa ili tuone na wengine nao watafanya nini, ingekuwa adabu tosha kwa wengine na wange kaa sawa.
Naona somo la Demokrasia kwako ni gumu. Msilazimishe vitu.
 
Back
Top Bottom