Natoa ofa kwa mtu yeyote yule kuniuliza swali lolote lile ambalo jibu lake halijaandikwa, halijachorwa au kujibiwa mahali popote pale nami nitamjibu kwa ufasaha uliotukuka. Offer kama hizi ni mara chache sana huwa nazitoa.
Mfano wa swali ambalo unaweza kuuliza (ambalo jibu lake halijaandikwa, halijachorwa au kujibiwa mahali popote pale) ni;
1. Kwa nini vidole vya binadamu havilingani urefu?
2. Kwa nini kiganja cha mkono wa binadamu kina mistari?
Angalizo;
Usiulize swali nilolitoa hapo juu kama mfano