Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,211
kesho ndo leo au ndo kesho?
Kwa nini saa ikionesha 7 tunasema saa moja?
Kwa nini saa ikionesha 7 tunasema saa moja?
kwa nini chotara huitwa black?
je ukimwi ulitokana na nini?eti ni kweli ulitengenezwa?
Kwa nini wapenda facebook wengi niwatoto wa uswazi??
Kwa nini ukiwa Freemasons unatajirika fasta...
Kakimbia mbona?
Kwanini umeacha kujibu watu ?
Near by Artinzu education center Mbeya.
Kwa nini umeanzisha thread ya kipumbavu?
kesho ndo leo au ndo kesho?
kwanini kuna watu weupe na weusi?:msela:
Kwanza kabisa ni lazima
kujua nini maana ya chotara, chotara ni kiumbe (hapa binadamu) ambae
ametokana na rangi mbili tofauti (races). Hivyo anaweza akawa chotara wa
kizungu na mchina, mwafrica na mwarabu, mhindi na mchina n.k
Na mara nyingi rangi nyeupe (white color) huwa ni dominancy
ukilinganisha na nyeupe, ndo mana machotara wote walohusisha mwafrika
(hapa black) huwa ni weupe (rejea Kali Ongara, mtoto wa Remmy Ongara
kama mfano) hivyo kuwaita black ni utani zaidi kuliko uhalisia
Kwanza kabisa ni lazima kujua nini maana ya chotara, chotara ni kiumbe (hapa binadamu) ambae ametokana na rangi mbili tofauti (races). Hivyo anaweza akawa chotara wa kizungu na mchina, mwafrica na mwarabu, mhindi na mchina n.k
Na mara nyingi rangi nyeupe (white color) huwa ni dominancy ukilinganisha na nyeupe, ndo mana machotara wote walohusisha mwafrika (hapa black) huwa ni weupe (rejea Kali Ongara, mtoto wa Remmy Ongara kama mfano) hivyo kuwaita black ni utani zaidi kuliko uhalisia
Kwa nini ikulu nyingi hupakawa rangi nyeupe?
Kipi kilianza kati ya kuku na yai?
Rangi nyeupe imekuwa ikichukuliwa kama rangi ya heshima zaidi duniani, lakini pia rangi nyeupe huakisi mwanga pamoja na joto
mmmh kamba hii