Uliza swali lisojibiwa popote pale

kwa nini mtu akinya lazima akojoe

Hiyo siyo lazima kwani kama kwenye kibofu hakuna mkojo wakati wa haja kubwa huwezi kukojoa, ila mara nyingi watu wamezoea kwenda kujisaidia haja kubwa muda maalum hivyo hawaanzi kwa kukojoa kwanza kabla ya kwenda haja kubwa.

Ukitaka uhakika wa hili angalia mtu anae-endesha (diarrhea) akianza kwa mara ya kwanza anakojoa pia ila mara ya pili na kuendelea huwa hakuna mkojo tena
 
na wale wanao lalia ktandani 2xeme wameidharau na wayoifanya kma sanda je.!

Rangi nyeupe haijatengwa kwa ajili ya wakuu tu ingawa mara nyingi hutumiwa na wao kwenye majengo ya ikulu, kuhusu sanda kuwa nyeupe huo ni utaratibu tu wamejiwekea ni sawa na kwa wazigua ambapo wanawake wanaokamua maziwa wanavaa kaniki (aina ya kashuka keusi).

Rangi nyeupe inatumik kama ishara ya usafi kwani kukiwa na uchafu huonekana kirahisi ndo mana watu wa afya wanasisitiza maeneo ya vyakula yote sare iwe nyeupe
 
ukipokea msg nyingi kwenye simu inbox inaandika full, or no space for new msg, ukifuta inbox zile old msg hazidondoki chini lakini unapata space, zinaenda wapi? na kwanini uko zinakoenda zisijae?
 
ukipokea msg nyingi kwenye simu inbox inaandika full, or no space for new msg, ukifuta inbox zile old msg hazidondoki chini lakini unapata space, zinaenda wapi? na kwanini uko zinakoenda zisijae?

katika mfumo wa digitali kuna kitu tunaita binary file, ambao ukukwa wake unapimwa kwa bytes, wakati unapobonyeza delete, iko program ambayo inafanya bytes kuwa zero hivyo kinadharia tunasema msg imefutika, kuna mifumo mingine inasehemu ya kuhifadhia hizi msg zilizufutwa (recycle bin) ambako unaweza ku-restore msg yako ukipenda na nyingine ndo inazifuta moja kwa moja
 
Very interesting. Sijawahi waza hili, lakini nadhani. But i guess ni kwa ajili ya adaptation to perfom inteded tasks. Mfano dole gumba la.mkononi lingekuwa refu kuliko.vidole vingine ungeshondwa kushika vitu haswa vodogo vidogo. Imagine kuokota harage ama sindano? Na dole gumba la.mguu ni kwa akili ya balance ya mguu. Lingekuwa fupi kama mkono labda aungeshindwa kufunga break,lol

Kwani wewe ndo umeleta hii post mbona unamjibia mwenye post?
 
Napenda tu kuufikirisha ubongo wangu. Sio mvivu wa kufikiri, ni kama i was thinking aloud.

Naweye kwani umeambiwa uulize maswali waliojibu maswali ama?

By the way, post ni hii ninayokuandikia, aliyoandika mtoa mada inaitwa thread. Umeelewa?

ila hukupaswa andika yako alafu ndio ujibu..! Kwa mujbu wa sheria umevunja sheria.!
 
katika mfumo wa digitali kuna kitu tunaita binary file, ambao ukukwa wake unapimwa kwa bytes, wakati unapobonyeza delete, iko program ambayo inafanya bytes kuwa zero hivyo kinadharia tunasema msg imefutika, kuna mifumo mingine inasehemu ya kuhifadhia hizi msg zilizufutwa (recycle bin) ambako unaweza ku-restore msg yako ukipenda na nyingine ndo inazifuta moja kwa moja

ninamaswali mengi sana ila sinto kuuliza tena, unachofanya nikujibu tu, ata kama umekosea, coz hakuna wakukuuliza...
 
Hii ni kutokana na kutumia saa yenye mfumo ambao unaanzia saa sita kamili usiku (mid night) kwa mfumo wa masaa 24 au saa sita kamili mchana (noon) kwa mfumo wa saa 12, wakati mfumo wetu unaanza saa kumi na mbili asubuhi, na kufanya wakati kwetu ni lisaa limoja tangu kuanza kwa masaa 12 mapya, waingeleza wao ni masaa saba tangu (mid night or noon)
Kamatunapishana kiiivyo kwa nini mwaka mpya tunasherekea usiku wa manane i mean saa 6 midnite?
 
Kwanini baadhi ya vitu kama vile kifuniko cha soda, sufuria na vinginevyo vikisuguliwa kwenye sakafu ya cement husababisha maumivu ya meno kwa baadh ya watu?
 
Hii ni kutokana jua, wale ambao asili yao wameishi zaidi kwenye jua, mabadiliko ya kiasili (hapa genetic adaptation) yamefanya wawe na rangi nyeusi

Soma pia kitabu cha wimbo ulio bora (sulemani anasema "msinichunguze chunguze kwa kuwa mimi ni mweusi, kwani jua limeniunguza")

naomba huo mstari
 
Nimesoma post zote Na mleta maada nikagundua Jambo la ajab sana, awali mkao wa maada Na Jukwaa alilotumia mleta maada haviendani Na mlolongo wa majibu..

Nimeyapenda majibu yake kwamba ni kweli au si kweli inabakia Kwa masomaji mwenyewe lakini mleta maada anajitahidi kujibu Kwa weledi Na si kipuuzi au utani Kama jukwaa alilotumia, Na Kwa maana hiyo Basi hata wauliza maswali wengi maswali Yao ni ya Jokes Na katuni lakini mleta maada aliulizwa swali kwanini umepost post ya kipuuzi, mleta maada akadefend kwamba post yake si ya kipuuzi Kwa sababu asilimia 98 ya matatizo ambayo AMA mwanadam anakutana nayo au anajidumbukiza matatizoni ni kutokana Na kukosa majibu ya maswali kadhaa Kwenye njia ya maisha yake ambayo to me ni ukweli usiopingika..

Najaribika kuwaza mleta maada anaweza kuwa Na 'kitu' .. Siulizi swali Bali nashauri maada yake ama mods waibadilishe jukwaa au ailete Kwenye majukwaa fikirishi .. Huku huwa tunakuja kufanya brainwash and nothing very serious you Gona expect to meet Kwenye Jokes,Gossips forum..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom