Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

Mzee ulijua unaenda kupachua kitu cha kiunguja eeh,duh pole sana.
mwenzangu!, nilijua siku hiyo naua. dah! jamaa aliniumbua kwelikweli. lakini sikati tamaa sababu kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa uhunzi. mia
 
nakuona hapo chini haya tuambie uhunzi wako tangu januari umetengeneza koleo sio "mwiko" ngapi?
 
He he he, maneno na na moyo Dena.
Usituumizie hisia za figaniga wetu.

Serious note: lazima afanyie kazi hiyo sentensi yako, watamchapia sasa hivi.

Kashitukia kuwa hujui kupika ugali unaweka unga wakati maji hayajachemka.............................
 
bora maaaana...ungemla ungemtangaza hapahapa..
Kakuwahi teh teh
chezea boko haram.. id 9 hahaaa
pole lakin but so funny!
 
Kashitukia kuwa hujui kupika ugali unaweka unga wakati maji hayajachemka.............................

angekua ameshanipa hicho chungu cha kusongea sawa lakini hata chungu chenyewe alikua hajanipa. mia
 
bora maaaana...ungemla ungemtangaza hapahapa..
Kakuwahi teh teh
chezea boko haram.. id 9 hahaaa
pole lakin but so funny!

mbona wewe sijakutangaza Swts?. mimi sisemisemi hovyo. au kuna sehemu nlikusema?. mia
 
Last edited by a moderator:
mia
mzee wa maadventure pole bana
haya tuambie huyu tunamuongeza kwenye ile idadi ninayoifahamu?jumla wangapi
subiri nipige mahesabu.mia
 
Maumivu bado mia

hawezi ukaokota DODO kwenye MNAZI pole mwanake wakweli au mwamume wa kweli hapatikani kwa Style hiyo nikuwa makini nAhata huyo mdada yupo makini ndio maana amekuzungusha kwani anajua sio Destur na Tabia yakumtamani mtu yy atakua ana mtu wake isipokua ali Chat 2 nawe kama just a Jocke mzee umeingiza Miguu yote hayo ongeza bidii huenda jibu sahii utaliona pole
 
ni malaya wa maneno tu huyu achana naye maana time ikifika atakutafuta siku mmoja amini mkuu atajileta yeye
 
Bwahahahahahahahahahaahahhahaahahaahhahaahahahaah Poleeeeeeeeeeeeeeee Mkubwa,Mx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom