Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

mkuu jamaa bado mnawasiliana naye?. nahitaji mwenyeji zanzibar wa kuwa mwenyeji wangu. naomba unipe id yake niwasiliane nae. natanguliza shukurani.
 
bahati yako hujaombwa kutuma tigo pesa au m pesa ingekula kwako hiyo..ungetana na mutoto wa mujini ingekewa story nyingine..
 
Ha ha ha pole sana utafanyaje wakati imeshatokea ongea na vizuri uje arusha nkutane au unitumie number =PM ntakuwakilishi kama hutojali
 
Pole inawezekana pia ni kweli anaishi Zenji ila hakua na confidence za kukuface au mke wa m2,all in all pole!
 
Nyapu bwana! Ika mfanya mtu avuke bahari.

Najua sasa umekuwa mkubwa

chezea al-shabab
 
mbona huyo kakufanyia vzur yan unabahati kwl ungeingia kwny hamsini zangu ungejuta,..
 
Hellow! jf
Huyu binti nilikuwa nawasiliana nae kwanza kwa pm. hadi tukapanga nae niende kumtembelea zanzibar. Jmos iloisha nikafunga safari hadi bandalini. Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandali ya zenj, Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "HIVI UMEENDA KWELI? MWENZIO NAKAA ARUSHA. YALE NI MAMBO YA JF BANA FIGGANIGGA, MI NKAJUA WANTANIA ATI!. POLE SANA".Akamalizia na kicheko!. Nimfanyeje huyu jaman?. Mia

Mzee ulijua unaenda kupachua kitu cha kiunguja eeh,duh pole sana.
 
Pole kaka ila naamini ulistahili kufanyiwa hivyo mana unaonena ni mwanaume mkware,next time kuwa muangalifu mana unaweza ukafanyiwa vitu vya ajabu. Ila ile kitu inanguvu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom