Penye mteremko mbele kuna mlima mkali, pole sana
he hw he pole ndugu...yanatokea kaka,nilishawahi kuenda moshi kumfuata demu kumbe yupo dodoma
Hellow! jf
Huyu binti nilikuwa nawasiliana nae kwanza kwa pm. hadi tukapanga nae niende kumtembelea zanzibar. Jmos iloisha nikafunga safari hadi bandalini. Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandali ya zenj, Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "HIVI UMEENDA KWELI? MWENZIO NAKAA ARUSHA. YALE NI MAMBO YA JF BANA FIGGANIGGA, MI NKAJUA WANTANIA ATI!. POLE SANA".Akamalizia na kicheko!. Nimfanyeje huyu jaman?. Mia
kaka mimi ilinikuta facebook. Nilifunga safari mpaka dar nikapangiwa na hoteli ya kufikia. Mpaka saa sita usiku mwenyeji haonekani bt akinipa moyo yuko harusini atakuja,hakuja mpaka kumekucha! Yani tunavyoongea sa ivi ufacebook nimeacha
Ukichukulia the whole week ulikuwa una ji koki kwa Uji wa Ulezi+Karanga+Njugu Mawe....100
kaka mimi ilinikuta facebook. Nilifunga safari mpaka dar nikapangiwa na hoteli ya kufikia. Mpaka saa sita usiku mwenyeji haonekani bt akinipa moyo yuko harusini atakuja,hakuja mpaka kumekucha! Yani tunavyoongea sa ivi ufacebook nimeacha
Hahaha! Mia.Ukichukulia the whole week ulikuwa una ji koki kwa Uji wa Ulezi+Karanga+Njugu Mawe....100
tupo wengi kweli, wengine wanaona aibu kutoa ushuhuda. ama kuna mwengine mnapanga kuonana ukitarajia ndo alivyo kwenye picha., ila akija utaona ni king kong mrembo kama alivyosema mdau huko mwanzo.Kumbe wa hanga mko wengi?
Poleni. . . au sijui niwacheke. ., ?
Ulikuwa huna mpenzi? Kama ulikuwa nae tayari ulichopata stahili yako.kaka
mimi ilinikuta facebook. Nilifunga safari mpaka dar nikapangiwa na
hoteli ya kufikia. Mpaka saa sita usiku mwenyeji haonekani bt akinipa
moyo yuko harusini atakuja,hakuja mpaka kumekucha! Yani tunavyoongea sa
ivi ufacebook nimeacha
Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu anakuacha usafiri huko kote kama hana mpango wa kuonana nae. Kama ni utani ulitakiwa uishe baada ya wewe kusema ungependa kumtembelea.tupo wengi kweli, wengine wanaona aibu kutoa ushuhuda. ama kuna mwengine mnapanga kuonana ukitarajia ndo alivyo kwenye picha., ila akija utaona ni king kong mrembo kama alivyosema mdau huko mwanzo.
kama ndivyo si muoane tu?Hahaha. . . Pole bana.
Alafu NN sio kiboko yangu, ni saizi yangu.