Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

mie nlishawahi kudanganywa eti anakaa mabibo kumbe yuko hall 7, na wakati naenda panda gari pale bondeni toka hall 6, ye akawa anancheki kwenye madirisha ya hall 7. Ila mwishowe 'nilifanikiwa'. we usikate tamaa endelea kumfuatilia huyo utampata kwani kisha ona uko serious, atakuonea huruma, kazana mtoto wa kiume!
 
Well mi ndo nnayoweza kuafford. . . ile iliyoko ndani ya jengo la CRDB ghali sana, japo pc zao zinavutiana chumba ni full kiyoyozi.

Poa nikiwepo ntakushtua.
Umenichomesha mahindi sana mrembo, tangu saa 11 alfajiri mpaka saa 1 jioni kimya, nilikuwa na buku kumi nikanywa maji yote mpaka ikaisha tu we hutokei?
Hahahaahaa kweli na wewe Lizzy unaingia kwenye kundi la wanaowadanganya wanaume? Hebu nionee huruma bwana njoo cafe!
 
Hahahahaha lol umewezwa kweli this time...achana naye tu si mambo ya JF au ulikuwa na mipango mingine nini?

sasa mkuu nmewezwaje?. mi nia yangu ilikuwa kupiga stori nae si vingine. mia
 
Umfanyeje kwani unamdai?
Ndio dawa ya kukurupuka hiyo. . . kila siku na thread za "nikamzimia, nikamtukana, sasa namtaka". Kwa style hiyo only a fool would take you serious. . . too bad you haven't met one yet.

mkuu sijakurupuka bali tulipanga tena kwa mda mlefu tu. Mia
 
Naoma wenzetu wamefurahi kweli. Pole kaka sisi ndio tunajuwa machungu ya kukosa mechi wakati ushajitayarisha.

asante mkuu, hao wamefurahi sababu ndo tabia zao za kudanganya. jamani sio vizuri kumdanganya mwenzio. Mia
 
Hahahhahahahahahahahahah bro pole sana bro ndo sosho netweking hiyo mweeh!
It‘s nt funny bt yeah it‘s hillarious and pitiful at the same tym!

inauma sana. yaani watu hawana utu moyoni. si bora angesema hataki?. asante mkuu. Mia
 
Daktari hua halii kwa kumuona mgonjwa aliezidiwa !
Aidha Jogoo hafi kwa utitiri !
Geuka kushoto!
Geuka kulia !
Angaza upya wapi pa kulipizia !

kwangu mimi nmeichukulia poa coz si mara ya kwanza kudanganywa na hivi viumbe. nlishapoza machungu. asante mkuu. Mia
 
kaoge na maji ya moto kisha forget about her. na ujifunze kuwa huwezi pata kila kitu unachokitamani.

mimi nlikuwa nimemtembelea kama rafiki yangu tu, lakini hadi sasa sielewi kwanini aliingia mitini. Mia
 
Umfanyeje? Mfate Arusha we vipi bana....usiwe mtu wa kukata tamaa kirahisi bana unakuwa ka sio Kinega bana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom