Uliwezaje kuishinda nguvu ya mauti uliposalitiwa na mpenzi wako

Wewe upewe Tuzo ya mwanaJamii Forum unayeongoza kuteswa na mapenzi, inaonekana haya mambo ya mahusiano unayachukulia sirias sana na kuyapa kipaumbele ktk maisha yako, wew kila siku hukosi kuleta Visa humu vya kulaumu mapenzi.

Hiv huwa unapata na muda wa kupumzika kweli? Wew ukilala n vilio na ukiamka ni vilio...
 
Maana ya kujiua kwa ajili ya mapenzi ni kwamba Mungu alivyokuumba hujakamilika, unataka ujikamilishe kwa kujishikanisha na maisha ya mtu mwingine.
Yaani hujitoshi
Yaani hujakamilika
Yaani Mungu alikuumba nusu mtu?kama ni hivyo kabla ya kummeet huyu anayekukamilisha uliishije?
 
Ndugu zangu ...

Sina furaha hatakidogo na nimekata tamaa sana kweli kabisa nakumbuka miaka mingi imepita tokea nimesalitiwa na mwanamke niliyempenda kwa dhati, alinisaliti katika mazingira ambayo sikutegemea na ikawa mwisho wetu.

Nimejitahidi sana kumsahau ila kunakitu kinakaba kwenye koo hapa (shingoni) yani kina kaba hasa na wakati mwingine kinaniambia jiue jiue tuu habari yako imeisha.

Nimeomba sana ila pepo la kujinyonga linaniandama sana, nimejitahidi kumsahau tena mpaka kwa kufanya maombi ila nikimkumbuka tuu roho ya kujiua inanijia na inanisukuma hasa kujiua

Niliomba ushauri nikaambiwa omba sana na utafute mwanamke mwingine haraka anizubaishe nimefanya hivyo tena kwa kua na wanawake wengi zaidi ili niburudike lakini bado hii roho ya mauti imegoma kunitoka

Kweli nimepambana sana , nimepewa mpaka cancelling lakini wapi, maombi wapi, meza dawa za akili wapi, nimejichanganya na watu wakila aina na jinsia zote , nimelazimisha hadi kuwa kijana wa hovyo labda nitatulia ila hakuna kitu, vuta bangi ,kunywa pombe sana ili anitoke akili lakini imeshidikana kabisa na hili roho la kujiua linanijia kabisa wakuu

Kila siku hili pepo linanipigia kelele jiue jiue jiue... Tunashindana haswa ndugu zangu nisaidieni

Sasa napukutika ndugu zangu naona napotea nisaidieni
Unaomba ombaje yaani? unanukuu vifungu kutoka kitabu gani?
 
We braz acha izo basi ma Qumer yote aya hlf unataka ujinyonge? Umeshiba ugari na matole ww. ila ushauri wangu km una changamoto ya kipato mawazo ya kujinyonga hayawezi kutoka ila km kipato kipo fresh kula bata tafta dem mkali halafu sali sana lyf goes on mzee wng acha kujikatili
 
Ndugu zangu ...

Sina furaha hatakidogo na nimekata tamaa sana kweli kabisa nakumbuka miaka mingi imepita tokea nimesalitiwa na mwanamke niliyempenda kwa dhati, alinisaliti katika mazingira ambayo sikutegemea na ikawa mwisho wetu.

Nimejitahidi sana kumsahau ila kunakitu kinakaba kwenye koo hapa (shingoni) yani kina kaba hasa na wakati mwingine kinaniambia jiue jiue tuu habari yako imeisha.

Nimeomba sana ila pepo la kujinyonga linaniandama sana, nimejitahidi kumsahau tena mpaka kwa kufanya maombi ila nikimkumbuka tuu roho ya kujiua inanijia na inanisukuma hasa kujiua

Niliomba ushauri nikaambiwa omba sana na utafute mwanamke mwingine haraka anizubaishe nimefanya hivyo tena kwa kua na wanawake wengi zaidi ili niburudike lakini bado hii roho ya mauti imegoma kunitoka

Kweli nimepambana sana , nimepewa mpaka cancelling lakini wapi, maombi wapi, meza dawa za akili wapi, nimejichanganya na watu wakila aina na jinsia zote , nimelazimisha hadi kuwa kijana wa hovyo labda nitatulia ila hakuna kitu, vuta bangi ,kunywa pombe sana ili anitoke akili lakini imeshidikana kabisa na hili roho la kujiua linanijia kabisa wakuu

Kila siku hili pepo linanipigia kelele jiue jiue jiue... Tunashindana haswa ndugu zangu nisaidieni

Sasa napukutika ndugu zangu naona napotea nisaidieni
Mimi nitakushauri ukiwa uko na utimamu wa akili, kwa sasa sidhani kama akili zako ziko sawa, tuliza akili kwanza ndio upokee ushauri, vyenginevyo kuna watu humu watakushauri ni bora tu ujiue, hivi unadhani utamsikiliza nani kati ya akushaurie ujiue na wewe unataka hivyo na yule akuambiae kuwa na subira wakati wewe huoni kama mvumilivu hula mbivu. WEKA AKILI YAKO SAWA, AKILI YAKO IMEVURUGWA.
 
Jipe muda
Kubaliana na hali ya kuacha/kuachika...samehe kama alikukosea,jisamehe kama ni wewe ulikosea

Asilimia nyingi ya binadamu tuliowahi kupenda kweli tulishapitia huko lakini kwa sasa imeshakuwa history

Pole
Sasa joanah si uliniambia wewe haujawahi kumpenda mtu na haitokaa itokee, au ndio kumpa moyo tu mshkaji?
 
Watu mnakufuru sana kabla ya kipindi hiki sikuelewa kuwa kunamambo mazito Dunia hii na yanaumiza kuliko mapenzi
Ndugu kunamagonjwa yanatesa sana hebu pita hospitali sikumoja uone utaenda kushukuru Mungu Kwa kuweka hai angalau unaweza kuandika Uzi hapa kunawatu wanapigania pumz tu huenda wanajua kbisa watakufa siku chache zijazo 🙏
 
Ndugu zangu ...

Sina furaha hatakidogo na nimekata tamaa sana kweli kabisa nakumbuka miaka mingi imepita tokea nimesalitiwa na mwanamke niliyempenda kwa dhati, alinisaliti katika mazingira ambayo sikutegemea na ikawa mwisho wetu.

Nimejitahidi sana kumsahau ila kunakitu kinakaba kwenye koo hapa (shingoni) yani kina kaba hasa na wakati mwingine kinaniambia jiue jiue tuu habari yako imeisha.

Nimeomba sana ila pepo la kujinyonga linaniandama sana, nimejitahidi kumsahau tena mpaka kwa kufanya maombi ila nikimkumbuka tuu roho ya kujiua inanijia na inanisukuma hasa kujiua

Niliomba ushauri nikaambiwa omba sana na utafute mwanamke mwingine haraka anizubaishe nimefanya hivyo tena kwa kua na wanawake wengi zaidi ili niburudike lakini bado hii roho ya mauti imegoma kunitoka

Kweli nimepambana sana , nimepewa mpaka cancelling lakini wapi, maombi wapi, meza dawa za akili wapi, nimejichanganya na watu wakila aina na jinsia zote , nimelazimisha hadi kuwa kijana wa hovyo labda nitatulia ila hakuna kitu, vuta bangi ,kunywa pombe sana ili anitoke akili lakini imeshidikana kabisa na hili roho la kujiua linanijia kabisa wakuu

Kila siku hili pepo linanipigia kelele jiue jiue jiue... Tunashindana haswa ndugu zangu nisaidieni

Sasa napukutika ndugu zangu naona napotea nisaidieni
Anaempenda baba mama au watoto au kuliko Mimi hanistahili. Hii ndio kanuni kuu Chief. Usimpende mwanamke au kitu chochote humu dunian kwa zaid ya asilimia 50. Coz maisha sio milele watu wanabadilika na pia anaweza kufa ni kiumbe huyo. Mtu pekee wa kumpenda kwa dhati ni Mwenyezi Mungu maana ni yeye pekee habadiliki atakuwa na wewe katika hali zote hata kaburin. Kwa kukusaidia. Kama unaweza hamia nchi nyingine kwa muda kuiona dunia katika ajabu yake.
 
Itakuwa alionja moja
Bado hajakutana na zilizoungwa mbona angemtema mate huyo manzi wake!

Acheke na watu vzr tumpe dawa ya kukatisha safari ya kuzimu
Huyu bado first year huyu hajaonja onja nyingi akafinyiwa kwa ndani akapewa style zile za uhindini mbona ataghairii
 
sema sehemu ulipo tukuunganishe na mbususu tamu uttmber tuone kama utawaza ujinga huo Tena. yaani mm mwanamke akitaka kuniacha cha muhimu asinidhuru tu
 
Nenda beach tafuta sehemu ya pekeako then liaaa sana yaan lia kwa sauti kubwaa nasema hivi liaaa kwa sauti kubwa kwa kujiachia ukimaliza kulia jitupe kwenye maji ambayo unayamudu kuyaoga then kaa humo kwenye maji kwa dakika 10 kwa kurelax huku ukipumua kwa taratibu.
Alafu cheka saaana kwakujiona mjinga kwa kutaka kujiua jipige kifuani mala 3 alafu sema mimi ni mjinga then mwambie mungu asantee kwakunipenda ukimaliza yote hayo ondoka nenda kaanze ukurasa mpya wa maisha kwa nguvu kula bata kadri uwezavyo.
GAME OVER: utakuja kunishukuru baadae
 
Tuanze na umri wako kwanza una miaka mingapi? Mapenzi ulianza utotoni au ukubwani,huyo ni mpenzi wako wa ngapi?
 
Hizo ndizo zinaitwa ibada za sanamu.
Yaani umempa thamani kuliko Mungu wako ni lazima akichukue.
Ni hatari sana kuweka tumaini lako kwa mwanadamu unakuwa una hatarisha uhai wa mtu huyo maana Mungu utukufu wake hauchanganywi na chochote.
Ukimtumainia sana mtu au kitu ni lazima Hicho kitu kife.
Mfano mtoto,mme,mke, biashara, utajiri,Mali nk hii ni nature.
Hata magu ilionywa sana na wenye ufahamu wa elimu hii akajawa kiburi kina kange, bashite,nl walipokuwa wakimuabdu ilitakiwa awakemee.
Weka tumaini lako furaha yako kwa mke,mme, mtoto nk then check baada ya miaka 10 kama atakuwepo.
Ndo kinachomtesa mama kanumba.
 
Huyo ni nwanadamu ni ishu tu ya akili na mda utapita then utajiona mjinga tu na kumuona wa kawaida tu.
Mimi nikivhek pcha za pisi enzi hizo zilizonicrazy najiona nilikua mjinga tu.
Sasa utayajuaje mapenzi bila kuumizwa
 
Mkuu acha ujinga lesson kubwa watu huja na kuondoka ata Mimi nilipitia situation kama yako ila now days Niko strong japo nakunywa sana
 
Back
Top Bottom