Anotherperson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 594
- 650
Hebu sample nione, lakini tusiharibu maana ya uzi wa wadau hapaMm nyuzi zangu nikiandika tu hazimalizi dakika 10, zinafutwaa.... Ziwe jukwa la siasa... Intelligence.... Au mengine... Zinafutwaa chapu... Nafikiri ni kuwa na content sensitive.... Na presentation za wazi mno.... Nifundisheni coding system
Sent using Jamii Forums mobile app