Nyingine hii

Back in days nikiwa O'level Moshi, kuna dem tulisoma nae alikuwa kikojozi sana,mbaya zaidi hakuwa akijipenda na kwao maisha yalikua magumu shule anakuja mchafu, unform zake zimechakaa viatu mtihani, yule dem tulimpa jina la utani "Kimchelee" hili tulikuwa tunalijua sisi wana tu,na tulimpa jina hili kutokana alikuwa ananuka ka harufu flan hivi kama mchele ule unanukiaa, na kama mnataniana mtu akikwambia "dem wako kimchelee"lazima umind hata wasichana wenzake walimtenga!!

Basi bwana,baada ya miaka mingi kupita,mimi nko chuo apo mwaka wa 2,masomo magumu,nina stress balaa napiga Hamza Kanun mojamoja town posta mpya pale,nasikia naitwa na sauti ya kike "chineduu"nikageuka sikuona mtu ninayemfaham nikawaza labda si mimi ukizingatia jina langu ni popular sana, kila nikienda nasikia naitwa tu, mara mtu ananigusa bega kugeuka Aisee!!sikutarajia...

Alikuwa mtoto mmoja mkali vibaya mno, kajaliwa sura, shepu hatari, kavaa uniform za Supermarket moja kubwa na maarufu hapa mjini, ila mimi sikua namkumbuka huyu dem kwa io nkawa sielew kipindi, akaanza za siku, umekuwa mkubwa bla bla bla kibao akawa anaongea yeye tu mimi namtizama, akanambia hakutegemea kuniona hivo nmpe ata 20-30 hivi tukae sehem tuzungumze, kwel tulikaa sehem lakin sikua bado namjua ni nani japo kwenye mazungumzo alionesha kunijua sana!!

Kwa alkil ya haraka haraka nikahisi tulisoma nae, lakini nmesoma mikoa kama 4 hivi tofauti tofauti kwanzia primary-A level.kwenye story akawa anaulizia wanangu nliosoma nao Moshi kwa io nikajua nmesoma nae wap,ila huyu ni nani sina idea,baadae nkamuuliza maswal ya tecnik ambayo majib yake ndo nikajua aaah kumbe huyu ni Kimchelee!! Aisee nilishangaa sana alivyokua, basi story story pale nkachukua namba tukatawanyika ila nilibaki nikistaajabu sana!!

Tuliendelea kuchat nae kawaida tu,na mara nyingi alikuwa akianzisha yeye story,sikua na mawazo ya kumtafuna kwanza alionekana ni wale madem wa tabaka flan hiv,Jumapil moja akanialika kwake Kinondoni,nkamuulza kuhusu shemeji akasema njoo utamkuta hana shida, basi nikaenda kichwani nikiwa na mawazo kwamba natembelea familia ya mke na mume! Nmefika pale nmepokelewa njiani na ma hug mbele za watu adi najisikia soo, maana dem anamwil shepu mzuri alafu mimi dah!!

Tumefika kwake dem amepanga nyumba upande mzima,story mbili tatu nkakaribishwa menyu nmepiga fresh nkamuuliza mbona shem simuoni akanambia kaenda kusoma abroad,bas dem akasema anasikia joto ngoja akajimwagie maji, kaenda karudi aisee Mungu anaumba si mchezo!

Basi dem kaja kakaa pembeni yangu yani 0 distance,japo sebule kubwa, akaanza kuniulizia dem wangu wa o'level nkamwambia aliniacha dem akasikitika kizushi pale me namchora tu, mara ooh sorry nmekukumbusha vidonda wakati nlikuwa normal tu, naona mtu ananikumbatia ananilazia kwenye matiti yake, apo nkaacha uzembe nkajibu mashambulizi pale piga romance ya atari,nkamtenga apo piga sana!! Baadae dem anaanza kulia eti haamini kama kanipata ooh nilikuwa nakupenda tangu O'level ila nilidhan sitokupata kwa sababu ulikuwa unapendwa na wengi!!

Basi niliendelea kujipigia yule dem mpaka bwana ake alivyorudi akamuoa wakahamia Kenya ambako anafanya kazi mshkaji huko, huwa nawasiliana nae mara chache chache sana, na nikiri tu sijawahi kupata dem mzuri kama huyu Tangu nizaliwe!!

Nilichojifunza kwamba unaemdharau leo hii kesho huwezi jua atakuwa nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini yeyote anaweza kuwa yeyote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona sasa nillichokua namaanisha!!

Yaani kwa kuwa 'umesikia' kwamba baadhi ya wake za watu hutoka nje ya ndoa basi nawe kutwa kucha unajiachia tu kuvuliwa chupi kupanua mapaja unapigishwa katerero weeee ufike mshindo ufurahi.

Aisee, sikujui hunijui...
But serious this is not something mwanamke aliye smart upstairs kuwa 'proud of'

Naona wanaume wanaku kenulia meno tu hapa.

Mie Nakuchana live.
Yani hili jamaa linajiita Mama Deborah kumbe dume zima litakua halina malinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom