the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,049
Kuna wangese wachache wanafanya huu uzi usitembee kwa speed ambayo ulipaswa kutembea. Watu wanapiga sana kimasihara, visa vipo kama vyote, ila inavunja moyo mtu unatumia muda wako na akili yako kukumbuka matukio ili kuburudisha watu afu wanatokea mafala wachache wanasema chai, sababu tu kilichofanyika hawajawahi kufanya au kuona kinafanyika. How I wish ningewajua dada zao