Ulishawahi kujutia mchepuko?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,408
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Jje ulishawahi kujutia uamuzi huo? Tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nikaona nitafirisika aisee.
 
Haaaaahhhhh.....tena Bora mchepuko asimjue mkeo au mpenzi physically...! Ni maandamano vibaya mno atataka acheze Na mbshe zako nyuma mbele!!! Huweki 'D' wala R' kwenye Mizunguzo yako
 
Mchepuko ambao sitasahau !siku moja nilichepuka lakini kili nisumbua sana kukipata nikipo mpata katika mishe zile za kuvua ili niaze kuingiza nilishutushwa na kitu kamba uume lakini ulikuwa mfupi kama unaaza kuota juu ya mbunye yake! Kilikuwa ni kitu cha ajabu sana na aliniomba nisimwambie mtu........ukichepuka utakutana na nyingi zenye maumbile ya ajabu
 
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Je ulishawahi kujutia uamuzi huo?tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/[color =red]kichefuchefu[/color] kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nkaona ntafilisika asee

Kichefuchefu kwa kuwa alikuomba hela ama kuna lingine.....
 
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Je ulishawahi kujutia uamuzi huo?tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nkaona ntafilisika asee

Sasa nani aliokuambia mchepuko hauna mahitaji???? Wewe unataka kutafuna tuuuu nanili yake bureee perfume, powder, saloon, mavazi nk nani amnunulie kama sio wewe unaye ml..... A
 
Mimi kuna mmoja alikuwa haniombi pesa labda kama anashida kweli kweli na ni mara chache sanam lakini alikuwa ananiganda anataka kila wakati niwe nae, yaani nikitoka job niende kwake mpaka saa tatu usiku ndo niende kwangu nikaamua tupa kule ila alikuwa na mapenzi ya kweli dizaini waifu matirio. Mwingine alikuwa kamaliza 6 anasubiri kwenda udsm, alikuwa anabom huyo kila siku kisha mwisho wa mwezi anakuketea bajeti kabisa akanifanya mie ndo baba ake, nikamtupa kule.
 
Mimi kuna mmoja uliomba laki tatu nikaupatia, baada ya siku tatu nikapata msiba ikabini nisafiri kwenda msibani huko mkoani. Nikaufahamisha kuwa nimefiwa nasafiri kwenda mkoani. Nikiwa huko mkoani, eti unataka ela ya kusuka elfu 50. Jibu nilompatia hatakaa asahau, pamoja nikamtumia elfu 3 akanyoe nywele.
 
Back
Top Bottom