Ulishawahi kujutia mchepuko?

nyie jaman acheni tu kuna michepuko inapiga mizinga tena sio mizinga ya kitoto, inapiga mizinga mikubwa mikubwa alafu tena ya karibu karibu. tena macho makavuuuu. mie michepuko basi tu mungu anisamehe natulia na huyu huyu niliyenaye
 
Mi kuna mmoja alidai anataka nimpe mimba watoto atalea mwenyewe hatanisumbua kwa matumiz ya watoto, GHAFLA wiki iliyofuata anapiga mzinga wa 100,000 TSH (sijui alijisahau ama vepe). Yaani huyu huyu aliejidai kuwa amejitosheleza hatimaye kaanza mizingo kabla hata ya tendo lenyewe, aisee ikabidi nirudi kwa mama watoto kimyaaa
 
Back
Top Bottom