Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Anaondoka lini? ametusababishia foleni leo...
Nilishawali post kitu kama hiki siku chache zilizopita. Mlinzi wa Rais alivyo ni sawa na mpambe tu. Angalieni tofauti ya mlinzi wa Waziri Mkuu wa India alivyo smart na asivyoweza kugundulika kirahisi kama mlinzi, na kisha oanisha na mlinzi wa Rais wa Tanzania alivyopambwa na nguo za polisi magereza na kofia inayoonekana toka mbali kama mashua baharini. Uzamani huu utaisha lini?
Ukiona polisi wanavyotembea na magobole yao mitaani atamfukuzaje mhalifu wakati gobole lile linazidi urefu wake. Kununua bastola ni gharama ndogo sana ukilinganisha na pesa wanazolipishana posho wajanja tokana na kodi zetu.
Waungwana walishawahi kusema usichokielewa usikishupalie kukitolea kauli. Unaelekezwa bado unajifanya kujua wakati hujui...vilaza wengine mnatia kichefuchefu!

Ziangalie hizo taswira mbili na tofautisha ustaarabu na update za system za wenzetu, tuko mafundi tu wa kuchakachua lakini masuala muhimu kama hayo yanaonyesha tu tulivyonyuma katika mengi.
Nilishawali post kitu kama hiki siku chache zilizopita. Mlinzi wa Rais alivyo ni sawa na mpambe tu. Angalieni tofauti ya mlinzi wa Waziri Mkuu wa India alivyo smart na asivyoweza kugundulika kirahisi kama mlinzi, na kisha oanisha na mlinzi wa Rais wa Tanzania alivyopambwa na nguo za polisi magereza na kofia inayoonekana toka mbali kama mashua baharini. Uzamani huu utaisha lini?
Ukiona polisi wanavyotembea na magobole yao mitaani atamfukuzaje mhalifu wakati gobole lile linazidi urefu wake. Kununua bastola ni gharama ndogo sana ukilinganisha na pesa wanazolipishana posho wajanja tokana na kodi zetu.
Fuatilia nchi zote zenye mawazo chanya huwezi kuona rais akiwa na wapambe wenye sare za Nanyaro!!! Tatizo la mataifa yetu woga na upumbavu! Walinzi wetu bado wanatumia ulinzi wa kimwili (physical intelligence) badala ya ulinzi wa kiteknolojia! Nimewahi kufanya utafiti wangu binafsi juu ya ulinzi wa kiteknolojia, yani ikulu na viongozi wetu wapo wapo hatarini na hawajitambui!!! Ukitaka kujua siri mpaka za chumbani za viongozi wetu haihitaji kusafiri kuwafuata!! Hata kama upo USA au Ibiza siri zao zote utazipata pamoja na video zao!! Wasishangae siri nyingi za ikulu siku hizi zinatoka nje wakaanza kushikana uchawi kumbe wachawi ni wao!!!
Mungu ibariki Tanzania!!!
kwani ni lazima kufanya kama "wao" wanavyofanya?? hatuwezi kuwa unique na kufanya kivyetu ??
Candid Scope I hate to disagree with you but you are completely wrong. Wale ambao wameshakuwa kwenye sherehe kama hizi watakujulisha kuwa hata huyu raisi wetu anao walinzi wake ila hao uniformed ni mostly ceremonial na hii siyo case ya Tanzania tu ila nchi nyingi zinafanya hivyo. Ungepanua hiyo picha ungewaona walinzi wenyewe ambao ni just as credible as hao wa bwana Singh.
Nilishawali post kitu kama hiki siku chache zilizopita. Mlinzi wa Rais alivyo ni sawa na mpambe tu. Angalieni tofauti ya mlinzi wa Waziri Mkuu wa India alivyo smart na asivyoweza kugundulika kirahisi kama mlinzi, na kisha oanisha na mlinzi wa Rais wa Tanzania alivyopambwa na nguo za polisi magereza na kofia inayoonekana toka mbali kama mashua baharini. Uzamani huu utaisha lini?
Ukiona polisi wanavyotembea na magobole yao mitaani atamfukuzaje mhalifu wakati gobole lile linazidi urefu wake. Kununua bastola ni gharama ndogo sana ukilinganisha na pesa wanazolipishana posho wajanja tokana na kodi zetu.
Bongo bana, ni full vituko. Jana usiku niliona sehemu ya taarifa wakati huyo baniani anaonyeshwa ubingwa wa kukata mauno (sijui kama kucheza na nyoka ilikuwepo jana.) Wakati wanaondoka watu wamezonga magari halafu wale walinzi walovaa kiraia wanakurupuka kwenda kule mbele utadhani kuna purukushani fulani hivi, yaani mtu unapata taswira ya mabaunsa uchwara wa uswahilini. Ungetegemea watu wanaoingia pale wawe ni watu waliostaarabika, kujazana kando ya magari yalobeba wageni wapi na wapi. Hivi waheshimiwa wakienda nchi kama jamaica wanapigiwa reggae au??
Hii thread mpaka sasa sijaelewa dhumuni lake ni nini? nielewesheni tafadhali.
Candid Scope is quite right, always the body guard of our presda are in army uniform, hata akiwa Ikulu, hii ni indication kwamba Bongo hakuna amani! Nilikwisha angalia security ya Obama na akina Cameroon huwezi kuona magwanda magwanda, jamaa wamo kwenye miwani mweusi na suti!