Mimi natumia Dstv lakini mida ya asubuhi mpaka jioni kuna baadhi ya channel huwa zinagandaganda yaani kama cd chafu ikiwa kwenye deki na mida ya saa 1 ya jioni huwa safi sijui tatizo nini waungwana
Kwa uelewa wangu signal za dish lako ziko chini mtafute fundi akupandishie ziwe juu,natumai hata kipindi cha mvua huwa huoni kitu.
Arselona kuhusu madishi, mtu si anaweza kusuka lake mwenyewe? Nilienda kijijini kwa mshikaji nikakuta amesuka dish lake mwenyewe sikuamini. Alitumia wavu wa chekecheke kusuka. Anapata channel kibao including zinazoonyesha EPL.
kweli kaka,hapo umetugusa wengi,mi naomba unijuze yafuatayo kaka,ni Ku satellites zipi ambazo ni fta zinazoweza kupatikana nchini kwetu na dish saizi gani inatakiwa kaka,naitwa yusuph naish dar
Salaam wanaJF>mi natumia dish la wavu ft8 nko kwny intelsat 906@64°E hapa napata IPP Media,Ch10,Star tv, TBC Pamoja na Afrique Media...je naweza kupata ch zaidi ya hapo tajwa kwa mediacom MPEG 2 DVB-S..msaada plz!
hyo afrique media n ya wapii... Tugee na frequency
[/QUOTE]nawapenda sana ndugu, contact ni hii 0769623283
me naomba msaada juu ya hili jana nimefunga c band ya pili nyuma ya ile ya local channel nimepata aljazera,hope,samaa,ftv,takber tv,peace,ccctv n.k lakin mbona sijapata zile za kihind mfano dd india,dd sport,b4u,tala bangla. embu nijuzeni wana jukwaaa alaf naomba kujua kwenye hii sat ya 64.5e kuna channel ngap kwa xaxa maana me nazpata 11