Ulimtambua vipi kuwa huyu ndiye mwenyewe?

Dah kuna mtu/watu bwana wana vidole, akikuwekea vidole say amekushika mkono au begani raha sana....

Rogi usije ukajikuta umeanza kuvitamani vidole vya cacico na kuanza kumwota bure?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
real mi hata sielewei mwenzenu nimejikuta tu nimenasa mikonono mwake, maana sikumpenda day 1 baada ya kunifuatilia muda mrefu sijui ikawaje bac nikajiluta mbele ya paroko na sasa its about ten yrs na ninampenda balaaa. but for sure sijui ilikuwaje.

decruca lazima kuna vionjo vyako na vya kwake ambavyo mligusana .tafakari utakumbuka na kujifahamu vizuri..................what makes you tick................
 
Last edited by a moderator:
Nilipomtizama tu machoni nikajua huyu ndie mganga na mganguzi ...
[MENTION]
Firstlady1[/MENTION] yaani sijui nisemeje.......yaelekea una ngekewa tu.............vinginevyo hayo macho yangekuliza.................kilio kisicho na ukomo...................
 
Honestly Rutashubanyuma i'm confused kidogo hao sura nzuri siwataki tena or rather kigezo hakitajengwa katika taswira sana, but it wouldn't hurt to get a hunk........lol

Elizabeth Dominic...........................acha uchokozi................u mean a hunk of a man?...............lol.....I know where you are driving at...........but I urge you to focus on his heart not his attractive looks ....take looks as a mere bonus.........I know it is tough but you won't regret.......find the means to search his deepest and innermost of his thoughts towards you.............................and you will be safe.............
 
Last edited by a moderator:
Lady JayDee hajaiona hii mistari aitolee single?
[MENTION]
Ndallo[/MENTION] hivi unamwona lady JayDee ana sauti ya kutushibisha utamu wa hili tenzi la mahaba?
 
Elizabeth Dominic...........................acha uchokozi................u mean a hunk of a man?...............lol.....I know where you are driving at...........but I urge you to focus on his heart not his attractive looks ....take looks as a mere bonus.........I know it is tough but you won't regret.......find the means to search his deepest and innermost of his thoughts towards you.............................and you will be safe.............

You are right...........but I will cross that bridge when I get there? but this time around I'll be prepared
 
Mtihani na fimbo gumu kulifumbua Ruta. Tunajiingiza hivyohivyo na feki zetu, yote yatajulikana mbele kwa mbele.
How would I know? Ila najua with time I will know ukweli na feki.
 
cacico.......yeye vidole naye akakugwaya bila ya chenga ,.....................na wewe je what really happended....just a mnly voice?................there ought to be more...................a gentle aura......................that was least threatening to you made you feel safe in his ably hands? Or what was it that made you say I do...........
there is alot more Rutashubanyuma as i have said the rest was realy a history, and here we are today! what about u ruta? tel me your side! lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom