Achen masihala si wengine tupo serious. Lizzy tupe ukweli.
No comment!Unashangaa nini sasa?Hawa ni wenzi...bado wale niliopita nakuondoka 12!
Unashangaa nini sasa?Hawa ni wenzi...bado wale niliopita nakuondoka 12!
Hehehe utata uko wapi?Nikifikisha 50 ndo ntatulia...wa 51 ndo atakua wa mwisho!Duu inaonyesha ww ni matata sana, kitu gani kinaweza kukutuliza?
tulikutana library, wote tukiwa katika harakati za kujiandaa na mitihani ya taifa, hivyo safari za library kila siku. alianza na habari gani, jina lako nani, unaishi wapi, siku zilivyozidi kwenda, ikawa kushindikizana kituo cha basi (uda), then ikawa ingawa safari si yake kushindikizana hadi home, then date za movies (avalon, odeon, newchox cinemas), then zawadi za perfumes na vitambaa vya kupima vya kariakoo, then disco nights za (mbowe) then, tafadhali njoo unitembelee hostel......then nataka uwe mke wangu................ up and downs, but we are now married for 23 yrs!
Ni wenzi bado?Unashangaa nini sasa?Hawa ni wenzi...bado wale niliopita nakuondoka 12!
HahhahhaHahhahha...nshaongeza wengine wengi!!!!Ni wenzi bado?
Hahahahaha hatari sananilikutana nae bar yupo na kidume kingine kidume kilivoenda toilet tu hapo hapo nakachukua no ya simu ndo leo hii mama watoto