Ulikutanaje na mwenza wako?

tulikutana facebook, he poked me, i poked him, he requested me as a frend, i accepted, then wall 2 wall, inbox 2 inbox, online chat, then changing relationship status, ndio kama ifuatavyo
 
Was a playa with a capital P. Jamaa angu akaniambia kuna demu bomba dunia kakatiza mitaa hii kashuka mtaa ule, fukuzia na gari nikamkuta anapakia tax. Nikajifanya namfahamu na nujua anapoenda. (I have a very innocent face :lol: ) alivyoingia tu nikatupia kamba. Nilimwona mzuri sana na kama kawa nita hit and run! Weh!! Hehehe to make a long story short niko ndani na we have a baby boy and I'm happy as heaven.
 
tulikutana library, wote tukiwa katika harakati za kujiandaa na mitihani ya taifa, hivyo safari za library kila siku. alianza na habari gani, jina lako nani, unaishi wapi, siku zilivyozidi kwenda, ikawa kushindikizana kituo cha basi (uda), then ikawa ingawa safari si yake kushindikizana hadi home, then date za movies (avalon, odeon, newchox cinemas), then zawadi za perfumes na vitambaa vya kupima vya kariakoo, then disco nights za (mbowe) then, tafadhali njoo unitembelee hostel......then nataka uwe mke wangu................ up and downs, but we are now married for 23 yrs!

Wow! hongera sana miaka imejivuta yaan tangu enzi za avalon? mungu aibariki ndoa yenu
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom