Ulikutanaje na mwenza wako?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
wakuu naomba kama upo interested, na kama unaweza kutuhadithia jinsi ulivyokutana na mwenza wako.
Na je alikusumbua ? Ulimfuata mara ngapi?
Hakuwahi kukutukana au kukupa maneno ya kukukatisha tamaa?
...Love you guys:)
 
we met at the Airport(Amsterdam) sept 2008. I was buying Chocolate on vending machine when he came to talk to me.
Kuanzia hapo tukawa marafiki, tumeanza relationship Feb 2010.(Im about to dump him..im too busy with myself).

Anasafiri sana,kila akisafiri kiroho kinanienda mbio,nahisi atakutana na mwengine Airport.....lol
 
Nikutana nae Muhi2 chuoni. Kwanza nilimwomba tufanye discusion hiyo ilikuwa 2006 nilikuwa 2nd yr. Tar 14 nov 2006 nilijiaminisha na kurusha kete yangu akanijibu atanijibu baada ya wiki moja alinijib na tar 1 january 2007 tulikaa kwa muda wa saa 4 pale ferry tukijadiliana mambo mbali*2 ya maisha, na discusion ziliendelea tumemaliza chuo na sasa tunafanya kazi ndani ya wizara ya afya mkoa wa mwanza. Tunamtoto mmoja maisha yanaendelea. Wote ni madaktari.
 
Ebana madoc hongereni
 
safi sana watoto nao watafuata nyayo!!!!!!!!!!
 
elezea wote bana!
13 Wote??Ngoja niseme wawili wa mwisho..wakwanza tulikutana studio!Interest ya mziki ikatufanya mabeste mpaka kudondokeana!Namba mbili tulikutana kwenye party ya mtoto wa rafiki yangu!Hata hatukuongea pale...ila siku tatu zilizofuata tukajikuta kwenye nyumba moja maana alikua anaspend a few days kwa rafiki yake ambae ni rafiki yangu!Tukajuana na kuzoeana then mambo yakajipa!
 
tulikutana library, wote tukiwa katika harakati za kujiandaa na mitihani ya taifa, hivyo safari za library kila siku. alianza na habari gani, jina lako nani, unaishi wapi, siku zilivyozidi kwenda, ikawa kushindikizana kituo cha basi (uda), then ikawa ingawa safari si yake kushindikizana hadi home, then date za movies (avalon, odeon, newchox cinemas), then zawadi za perfumes na vitambaa vya kupima vya kariakoo, then disco nights za (mbowe) then, tafadhali njoo unitembelee hostel......then nataka uwe mke wangu................ up and downs, but we are now married for 23 yrs!
 
nilikutana naye Guest mie natoka ye anaingia ikabdi nimsubiri nikamuomba no yake ya cmu akanipa nikamuomba tukutane tena ktk ile íle Guest
Sina mbavu,nimecheeeeeeeeeeeka mpaka nikakugongea na senks,ahsante kwa kunipa weekend ya kicheko lol uuuuuwwwwiiiiiii nahema kwa kucheka!
 
nilikutana nae bar yupo na kidume kingine kidume kilivoenda toilet tu hapo hapo nakachukua no ya simu ndo leo hii mama watoto
 
13 Wote??Ngoja niseme wawili wa mwisho..wakwanza tulikutana studio!Interest ya mziki ikatufanya mabeste mpaka kudondokeana!Namba mbili tulikutana kwenye party ya mtoto wa rafiki yangu!Hata hatukuongea pale...ila siku tatu zilizofuata tukajikuta kwenye nyumba moja maana alikua anaspend a few days kwa rafiki yake ambae ni rafiki yangu!Tukajuana na kuzoeana then mambo yakajipa!
Lizzy,salamaaaaa au macho yangu? vyuo !3?
 
Back
Top Bottom