Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,714
- 4,227
Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO CONSERVATION AREA', NATUMAINI, KAMA WANA AKILI TIMAMU,WATAJIJIBU!
Zanzibar, kama sehemu ya muungano, ni nchi na sisi Wabara hatupaswi kuingilia masuala yao ya arhi ambayo sio ya kimuungano! Kama sisi, kwa uzembe wetu, tulilegeza kanuni zetu za kugawa ardhi, kwa hila au la, basi tukubali maumivu au turekebishe panapotukera kimyakimya na sio ati kuwalazimisha na wenzetu warudie UZEMBE WETU!
ZANZIBAR INA ARDHI NDOGO YENYE HIFADHI YA SEHEMU NYINGI ZA MAKUMBUSHO YA KIHISTORIA NA IKIRUHUSU WABARA WAJICHUKULIE ARDHI HOVYOHOVYO KWANZA ARDHI YENYEWE HAITATOSHA KITU, NA HAITAKUWA ZANZIBAR TENA MAANA HUENDA WAHAMIAJI KUTOKA BARA WAKAWAZIDI WENYEJI WENYEWE!
TUHESHIMU JUHUDI WANAZOFANYA WENZETU KUILINDA ZANZIBAR YAO!