Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mtoa mada umefika kidato cha ngapi?we kama huna kifaduro cha akili utakuwa una ajenda ya Siri.huwezi kufanya utafiti kwa miaka 16 kwa kutumia kitabu kimoja.tu.pia Wewe utakuwa unawazidi wanasayansi wote duniani kwa utafiti huo uliofanyaa.Jiandae KUINGIA Jahannam
 
Hili swali lako linahusiana vp na suala la mungu kuwa na uwezo wote? Maana inaweza ikawa ni nje kabisa na mada hebu fafanua sio tena baadaye unakuja kusema sijasema hivi Mara vile.
Mungu ana uwezo wote?
 
Kila kitu kimeumbwa na Mungu hakuna asicho na uwezo nacho. Mfano;
Vimondo (astroid) vikubwa vinavyokuja katika uso wa dunia yetu vinavyoweza kuleta maafa kwa nini vinaishia kuelekea inje ya sayari yetu na kutuacha salama?
Jua (sun) kwanini miale ya sumu inayotemwa kuungua kwenye jua inachujwa ktk hewa mgando (ozone lay) haitufikii katika sayari yetu ulinzi tunaupata wapi?
Hujajibu swali lililoulizwa na kama kuna swali umejibu, si lililoulizwa.

Soma tena swali halafu jaribu kulijibu.

Kama hujaelewa uliza.
 
Naomba unipe majina yako matatu lakini ntachokifanya sina uwezo wa kukiondosha kwako na Mungu atanisamehe ntakuwa nimetumia uchawi kufundisha sitokuwa na dhambi.
In box majina yako 3 ndani ya 24hrs majibu utayaona
Majina yangu matatu ni Kiranga Ngeda Sangala.

Nataka utokee hapa kwangu tuzungumze. Nitumie uchawi wako wowote ndani ya masaa 24 yajayo nisiweze kurudi hapa JF.

Nikiweza kurudi uchawi wako umeshindwa.
 
Wewe hauna uhakiki wowote hakuna research uliyoifanya umejifunza mambo ukubwani usiwaaminishe watu uongo Nipe utafiti uliofanya ukaamini Mungu hayupo?
Sina uhakiki wowote au nimejifunza mambo ukubwani?

Hayo mawili yanapingana.

Mungubwenu hayupo kwa sababu anajipinga kama duara ambalo ni pembetatu hapo hapo katika Euclidean geometry.

Ushawahi kuona pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?
 
Sijamfananisha Mwenyezi Mungu na chochote maana Mungu ni roho ya utukufu isiyoonekana wala hafananishwi na chochote.
Ushamfananisha huyo mungu wako na roho.

Ushamfananisha nanutukufu.

Ushamfananisha na kutoonekana.

Ushamfananisha na kutofananishwa.

Hapo hapo unasema humfananishi mungu na chochote.

Hivi unaelewa hata unachoandika wewe mwenyewe?
 
Kiranga ulikimbia maswari
Maswari sijui ni kitu gani.

Maswali sijawahi kuyakimbia JF hata siku moja. Naweza kuchelewa kujibu kwa kutoona thread au kutingwa na kazi. Najibu posts nyingi sana kwa siku inawezekana nyingine nisizione mara moja lakini eventually nazijibu.

Kama unataka kunichallenge, angalau jifunze spelling za Kiswahili.
 
Pembetatu inaweza kuwa duara hapo hapo katika Euclidean Geometry?

Umeshawahi kuona pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?
 
Maswari sijui ni kitu gani.

Maswali sijawahi kuyakimbia JF hata siku moja. Naweza kuchelewa kujibu kwa kutoona thread au kutingwa na kazi. Najibu posts nyingi sana kwa siku inawezekana nyingine nisizione mara moja lakini eventually nazijibu.

Kama unataka kunichallenge, angalau jifunze spelling za Kiswahili.
Kiranga

Agent of devil upo?

Unafahamu hata uwepo wa aina ya watu kama wewe unaweza kuwa ni uthibitisho wa uwepo wa MUNGU baba!?
 
Maswari sijui ni kitu gani.

Maswali sijawahi kuyakimbia JF hata siku moja. Naweza kuchelewa kujibu kwa kutoona thread au kutingwa na kazi. Najibu posts nyingi sana kwa siku inawezekana nyingine nisizione mara moja lakini eventually nazijibu.

Kama unataka kunichallenge, angalau jifunze spelling za Kiswahili.
Alafu "spelling za kiswahili" ndio nini?

Inakuwaje unabeza kiswahili cha mwenzako wakati hata wewe mwenyewe ni mfanyaji mzuri wa makosa ya kisarufi?

Hivi kwa mswahili ambae hajui kabisa kingereza hata neno moja atakuelewa vipi ukimwambia hivi "spelling za kiswahili"?
 
Mtoa mada umefika kidato cha ngapi?we kama huna kifaduro cha akili utakuwa una ajenda ya Siri.huwezi kufanya utafiti kwa miaka 16 kwa kutumia kitabu kimoja.tu.pia Wewe utakuwa unawazidi wanasayansi wote duniani kwa utafiti huo uliofanyaa.Jiandae KUINGIA Jahannam
Mtoa mada umefika kidato cha ngapi?we kama huna kifaduro cha akili utakuwa una ajenda ya Siri.huwezi kufanya utafiti kwa miaka 16 kwa kutumia kitabu kimoja.tu.pia Wewe utakuwa unawazidi wanasayansi wote duniani kwa utafiti huo uliofanyaa.Jiandae KUINGIA Jahannam
Mkuu unaelewa nini kuhusu ulimwengu ulivyo umbwa ?
Unaelewa nini kuhusu ukubwa wa ulimwengu usiopimika ?
WEWE NI NANI?
KWANINI UPO DUNIANI?
Kama ukinijibu nitaanzia hapo!
Kuhusu Elimu inanitosha kabisa kufanya hiki ninachofanya.
Kuchomwa moto ! Rudia kusoma thread yangu hakuna ambapo siamini Mungu.
Utafiti, nilibobea katika sayansi na kidogo nililudi katika dini kuhalalisha uwepo wa Muumba rudia kusoma utapata jibu
 
Mungu ana uwezo wote?
Mungu ana uwezo wote katika mlipuko (Big Bang) ambao inatuonyesha ulimwengu ulikuwepo
Swari,
Kama mlipuko ulikuwepo (Big Bang) kukatokea sayari, nyota, na billions za vitu vingi vilivyopo Mwanzo wa Uhai wetu ulitokawapi?

Supernatural katika aridhi iliyokuwa moto na kupoa ingeanzia wapi wakati kila aina ya mbegu ktk mlipuko isingeweza kusalia?

Ninajua nilichokuuliza unakiijua naamini utaelewa
 
Huja prove at any level.

Una force tu.

Kama mimi ninavyoweza kusema "Kichwa chako kimejaa mavi matupu".

Hilo linafanya kichwa chako kiwe kweli kimejaa mavi matupu?

Halafu hujui hata lugha unayotumia.

Ukiandika "I dont do nothing for free" that means you do everything for free.

Kama hujui hata kujieleza tu nitajuaje una akili za kutosha kujua kama mungu yupo au hayupo?

You are the proof that God does not exist. If he existed, he would not be so cruel as to create an imbecile like you.
Duuu!
 
Sina uhakiki wowote au nimejifunza mambo ukubwani?

Hayo mawili yanapingana.

Mungubwenu hayupo kwa sababu anajipinga kama duara ambalo ni pembetatu hapo hapo katika Euclidean geometry.

Ushawahi kuona pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?
Mkuu, Mawazo yako ni mazuri tatizo ni unavyofikili tofauti sio kosa lako siwezi kufaham nini ni kimewahi kukusibu mpaka ukaamini hivi!
1.>Mungu si kiumbe ni roho tukufu yenye mamlaka iliyo umba vyote katika ulimwengu huu pembe tatu unazo zifikilia ni vile fikila za kibinadamu zinakusukuma hauna jicho la tatu ktk kufikili, hizi ni pembe tatu kiroho.
2.>Mungu yupo na kila kitu kumuhusu yeye Kipo wazi mpangilio sahihi wa ulimwengu na maisha yetu hapa duniani kuwa na ulinzi na athari kubwa zinazo weza kuingamiza dunia.
 
Maswari sijui ni kitu gani.

Maswali sijawahi kuyakimbia JF hata siku moja. Naweza kuchelewa kujibu kwa kutoona thread au kutingwa na kazi. Najibu posts nyingi sana kwa siku inawezekana nyingine nisizione mara moja lakini eventually nazijibu.

Kama unataka kunichallenge, angalau jifunze spelling za Kiswahili.
Si Ku challenge ninakufundisha Bahati mbaya hutokea katika mambo mengi kama vile wazazi wanazaa mtoto asiye amini wao wame mzaa.
Mungu amekuumba lakini hauamini uwepo wake unakosea sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom