UKWELI MCHUNGU: Kama Upinzani usipochukua hatua na kufanya mabadiliko makubwa ya ndani, kuna uwezekano wa CCM kutawala kwa miaka mingi sana ijayo

Huyu mpuuzi ni Pro CCM yuko kwenye agenda zao za Lumumba ni kumpuuza tu
Acha mihemko kujibu hoja , acha kujificha kwenye ushabiki wa chama, kama huna la kuchangia soma michango ya wenAko mkuu,
Ccm na Lumumba inaingiaje hapa
Mtu mwenye akili unapima nguvu ya hoja na sio imetoka wapi au nani katoa
 
Bado nasisitiza wewe ni Pro CCM na unajua madhaifu makubwa yanayosababisha hali ya kisiasa nchini kuwa jinsi ulivyo, na wewe upo kulaumu vyama vya upinzani hususan CHADEMA ambacho kimeonesha dhamira, uwezo wa kuwa wapinzani wakubwa wa CCM, tazama matokeo ya kura 2015 yalivyokuwa licha ya wizi mkubwa wa kura wa CCM.

Ni upuuzi wa kiwango cha lami kusema CCM siyo tatizo bali ni vyama vya upinzani, kwa sababu ipi? Utapata au kutarajia mabadiliko kwa mfumo huu wa uchaguzi? Kwa tume hii ya uchaguzi? Kwa katiba hii? You are deluded au Una low iq au ni propagandist la CCM

Kama CCM wanaaminiwa na wananchi mbona hujibu kwa nini hawataki kuweka sawa uwanja wa siasa nchini?

Unaweza ukawashawishi wenye uwezo mdogo wa kufikiria, single out kasoro zilizopo kwenye chama husika tuzijadili, don't generalized ili kuficha uozo wa hoja yako
Kiukweli unachosha sana
Lakini nikushauri ili uweze kuelewahii mada usiongozwe sana mihemko na fikra za ushabiki wa vyama
 
Unatumia kiungo gani kufikiria?
Wenye Dola, mahakama na vyombo vya Dola wanaapa kila mara kuwa hawako tayari kuachia madaraka.

Umekiri CCM kutumia jeshi na hata kutumia jeshi kuvuruga na kuharibu chaguzi nchini.

Kwa CCM ambayo iko madarakani kufanya mabadiliko ni vyepesi kuliko upinzani ambao unapingwa na kuhujumiwa na CCM kila uchao, lazima kuwe na viongozi wa upinzani wanaoweza kuwithstand mbinu chafu za CCM ili waweze kusimama na kutengeneza mfumo utakaohakikisha haki inapatikana katika uendeshaji wa siasa nchini.

Hivi ni no akili Kweli iliyotumika kuona wanaotakiwa kuleta mabadiliko ni upinzani siyo wenye Dola? Sober up utakuwa umelewa au ulikuwa ill advised uje na hii cheap propaganda
Kipindi Cha ukoloni wangekuwepo vijana wenye fikra duni kama za kwako ungekuta mpaka Leo tunatawaliwa na wazungu

Kwamba ungesubiri wakoloni wakutengenezee mazingira mazuri ya kuwaondoa madarakani ,
Unazidiwaje fikra na vijana wa miaka 47 na 50, waliothubutu kushiriki uchaguzi chini ya serikali ya kikoloni, polisi jeshi tume kikoloni !??? Na bado wakashinda viti vingi na kiasi Cha kupewa upm.

Nyie ndo mnataka vyama vya upinzni viendelee kupambania nafasi ya chama kikuu cha upinzani badala kuunda serekali Yao
Tumechoka na vijana wa aina yenu hamna mchango wa maana wa kujenga upinzani uimara ambao utakuwa Bora na mbadala wa ccm
Zaidi ya ushabiki mihemko na uchawa kwa viongozi wa juu wa chama kama chama tawala
Lazima mbadilike guys
 
Kama siyo ujinga wa kiwango cha juu uliokujaa usingetoa kauli ya kipumbavu kama hii, hivi unaweza kulinganisha mazingira ya ukoloni na mazingira haya ya utawala wa CCM?

Mazingira ya uchaguzi yaliyosimamiwa na wakoloni, tume iliyokuwa inasimamia uchaguzi wakati wa ukoloni ni sawa na haya ya CCM? Kulikuwa na wizi wa kura? Utumiaji wa vyombo vya Dola kuhakikisha watawala wanabaki madarakani ulikuwepo?

Ukiwa CCM siyo lazima uwe mjinga bwana, mazingira yaliyowapa TANU ushindi Hadi kupewa upm unafanana na huu?

Mimi siyo kijana na siyo mpumbavu ni CCM ambayo unaonekana kuisupport inayozuia mabadiliko ya kisiasa nchini, hujuma iliyofanywa dhidi ya upinzani ni mpumbavu pekee anayeweza kuulaumu upinzani. Waliouliwa, kushambuliwa, kufilisiwa na hadi sasa hakuna tume huru!

Ni upumbavu kutowalaumu akina Lipumba bali wanaoitungisha serikali hadi wakakubali kukaa meza moja kwenye majadiliano, wewe unajua unachofanya cheap propagandist wa kipumbavu tu
 
Jitahidi wakati mwingine uwe na fikra huru mkuu itakusaidia kuelewa nada kama hizi ,kabla ya vyama Kuna taifa na kabla ya taifa kuna nchi
Uccm uchadema nk, visikufunge akili kushindwa kujua tunatetea kuwepo Kwa vyama vingi vyenye nguvu sawa au balanced Kwa maslahi ya taifa
Unafiki ni kusifia uongo Hali ukijua uimara was mpizani wako,
Ukweli na uhalisia ndo dawa ya kutibu ,
na hii itasaisia vyama vya upinzani kujiimarisha dhidi ya ccm
Taasisi yoyote imara inakuwa na malengo ya muda mfupi na muda mrefu ,sio kwenda tu ilimradi au kuweka malengo makubwa Kila wakati yasiyofikiwa , hii itavunja wafuasi wako moyo,
Mwisho tuache unafiki ,tuwambie wapinzani ukweli unaoweza kuwasaidia for national interest
Huna fikra huru zaidi ya unafiki uliopitiliza, hutaki chama chochote cha upinzani kiwe na nguvu wala kuitoa madarakani. Kwa sababu ni CCM ambayo inazuia ustawi wa siasa za upinzani Tanzania.

Ni muda gani shughuli za kisiasa Tanzania zimezuiwa kwa muda gani?
Hujaona kesi za uongo na mashambulizi dhidi ya wapinzani?
Wanaozuia tume huru ni nani? Wewe ni mlevi wa CCM
 
Vijana wenye fikra kama za kwenu ndo mnaotaka kutuharibia vyama vyetu vya upinzani
Kama mkt Mbowe alivyosema mnajibu hoja kwa mihemko bila kushirikisha akili zenu vizuri

Kasome Tena. Hoja zangu pale juu nimelezea mambo ya CCM pia nikatoa maoni Kwa upinzani namna ya kujiimarisha
Cha ajabu unakuruouka na agenda Moja TU ya uongozi ukihusanisha na chama chako bila aibu
Nazungumzia vyama vyote vya upinzani Kuna ombwe la uongozi ukianza na chadema uliyoitaja mkti wake ana miaka 20, cuf nccr tlp,
Mifumo ya chama na uendeshaji wake ukiwepo uongozi unaakisi pia jinsi mtakavyoendesha nchi endapo mtapewa ridhaa,
kama chama kitashindwa kuandaa watu wenye uwezo wa kubeba nafasi za uongozi for 20yrs, kinabaki kutegemea mtu huoni mfumo wake wa uongozi ni mbovu
What if wakipewa serikali SI ndo watanzisha mfumo wa kifalme kabisa
Tuache unafiki tuwambie wapinzani ukweli kwa maslahi ya taifa letu
Wewe hoja yako ni ya mihemko hujatumia akili hata 50%, ombwe la uongozi kwa CHADEMA liko kwenye mioyo ya wanaccm kama wewe, tatizo la vyama vya siasa Tanzania limetengenezwa na CCM na wapambe wake kama wewe.

Nionyeshe kwa Mbowe kuwepo madarakani CHADEMA kumezuia vipi ukuaji wa CHADEMA kama chama cha siasa.

Pili Tanzania inaendeshwa na katiba ya chama au katiba ya taifa? Kwa uongozi wa Mbowe CHADEMA imeweza kuwithstand hujuma zote za CCM na kuifikisha sehemu ambayo badala ya kufa kama alivyosema Magufuli na kuwa mshirika wa majadiliano ya maridhiano ya kisiasa nchini.

Nionyeshe kwa Mbowe kuwepo madarakani kumeadhiri vipi CHADEMA
 
Acha mihemko kujibu hoja , acha kujificha kwenye ushabiki wa chama, kama huna la kuchangia soma michango ya wenAko mkuu,
Ccm na Lumumba inaingiaje hapa
Mtu mwenye akili unapima nguvu ya hoja na sio imetoka wapi au nani katoa
Huna hoja wewe ni CCM na Lumumba, nakujibu hoja yako kwa msingi wa hoja yako. Kama ungekua Una hoja yenye mashiko ungeanza na kuonyesha tatizo la ustawi wa siasa za vyama vya upinzani nchini. Na tatizo ni CCM ambayo hutaki kuonyesha mapungufu yake zaidi ya kusifia mfumo wake. Wewe ni CCM na Pro Lumumba Parse
 
Kiukweli unachosha sana
Lakini nikushauri ili uweze kuelewahii mada usiongozwe sana mihemko na fikra za ushabiki wa vyama
Hii mada naielewa ila ukweli ni huu tatizo la kubuni umejaribu kulitengeneza, na sina ushabiki wa vyama vya siasa.

Nasisitiza tatizo ni CCM wanaohujumu huwezi kujaribu kuwalaumu wahanga na siwezi kuwa mnafiki, tutarudi kuwalaumu kama CCM wataweka equal playing field kwenye siasa.

Tatizo kubwa kwenye mada yako ni unafiki na ulitaraji na wachangiaji wawe wanafiki. Msingi wa tatizo hutaki Ku acknowledge,NI CCM PERIOD!
 
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu yenu kujenga taifa na nchi yetu.

Wakuu Kwa mara ya kwanza tulipata mwaliko wa kuhudhiria maadhimisho ya CCM tukiwa kama wataalamu wa afya Kwa ajili uchangishaji wa damu (blood donation)ktk maadhimisho hayo.

Wakuu tunatamani sana kuona vyama vya upinzani vinaimarika ili angalau tuwe na chama mbadala wa ccm, na hili linawezekana kwa kusema ukweli mchungu kwa kutambua uimara wa mpinzani wako na sio kuficha ficha madhaifu ya upinzani like kama ni milki ya watu Fulani tu.

Moja ya jambo nililojifunza ni kwamba CCM ina mfumo wa imara sana wa uongozi kuanzia shina kata wilaya kamati ya siasa utekelezaji katibu uenezi nk, Pili imeweka mfumo mzuri sana wa kuwajibishana, uongozi wa wilaya unaweza kumpa maelekezo DC au Das na akatekeleza n.k

Tatu, inajua kucheza na akili za wanachi kwa vitu vidogovidogo sana ,mfano kwenye hayo maadhimisho kulikuwa na vitu vidogo ila vinagusa wananchi Moja Kwa Moja like michezo games zawadi mbuzi nk

Nne, uimara wa kiuchumi wakuu Moja ya jambo muhimu nimeliona ni ccm kuwa vitega uchumi vingi haijalishi upatikanaji wake, lakini ni ukweli bila uimara kiuchumi Kwa vyama vya siasa vitaiahia kununuliwa tu kama sio na rule party basi na matajiri wa nje.

Nashauri yafuatayo kwa upinzani
Moja waimarishe mifumo ya uongozi na kuimarisha demokrasia ya ndani kuanzia ngazi ya shina mpaka taifa, hii itaongeza Imani Kwa wanachama wake na wanachi kuona Kila mmoja ana nafasi SAWA ya kuwa kiongozi, vile vile baadhi ya nafasi za uongozi kuwepo na ukomo kama mkt wa kitaifa, sitaki kuamini ndani ya miaka 20 chama kinashindwa kuandaa kiongozi kwenye nafasi hizo, hii inaondoa Imani kwa wananchi na kuleta ukakasi endapo mtu huyo atapewa nafasi kubwa ya kitaifa itakuwaje, it shameful kwakeli.

Pili, waweke malengo ya muda mfupi yanayofikika kuliko malengo makubwa yasiyowekana , kwa mfano nilishauri upinzani uweke lengo la kuchukua viti vingi vya bunge ili iweze kuwa na maamuzi makubwa ya nchi, ikizi gatiwa kwa sasa wananchi wamechoka bunge hili, wakiipeleka hiyo agenda Kwa wananchi no rahis kupokelewa.

Tatu, upinzani utafute agenda zinazogusa wananchi Moja kwa moja, huku wakitoa elimu taratibu ya agenda kubwa kubwa.

Mfano wananchi wachache sana wanajua umuhimu wa katiba mpya katika kutatua matatizo Yao direct, bahati Chadema kama ajenda Yao wanashindwa kujenga vizuri hoja inayoanisha vizuri katiba mya na matatizo ya wananchi

Kwa uchache ni hayo ila suala la umoja ndani ya upinzani ni la muhimu sana.
Katika nchi za kiafrika mabadiliko huletwa na wananchi bila kujali itikadi zao, Tanzania eti tunataka viongozi wa Chadema walete mabadiliko! Huu ni ujinga na uoga.
 
Kama siyo ujinga wa kiwango cha juu uliokujaa usingetoa kauli ya kipumbavu kama hii, hivi unaweza kulinganisha mazingira ya ukoloni na mazingira haya ya utawala wa CCM?

Mazingira ya uchaguzi yaliyosimamiwa na wakoloni, tume iliyokuwa inasimamia uchaguzi wakati wa ukoloni ni sawa na haya ya CCM? Kulikuwa na wizi wa kura? Utumiaji wa vyombo vya Dola kuhakikisha watawala wanabaki madarakani ulikuwepo?

Ukiwa CCM siyo lazima uwe mjinga bwana, mazingira yaliyowapa TANU ushindi Hadi kupewa upm unafanana na huu?

Mimi siyo kijana na siyo mpumbavu ni CCM ambayo unaonekana kuisupport inayozuia mabadiliko ya kisiasa nchini, hujuma iliyofanywa dhidi ya upinzani ni mpumbavu pekee anayeweza kuulaumu upinzani. Waliouliwa, kushambuliwa, kufilisiwa na hadi sasa hakuna tume huru!

Ni upumbavu kutowalaumu akina Lipumba bali wanaoitungisha serikali hadi wakakubali kukaa meza moja kwenye majadiliano, wewe unajua unachofanya cheap propagandist wa kipumbavu tu
Nilitaka nikupuuze kutokana na kuwa na fikra za kipumbavu, ila nitakujibu kwa faida ya wengine wenye fikra kama za kwako
maana najua umeshanielewa ilaunakaza kichwa Kwa sababu ya kutawaliwa na mihemko na ushabiki wa vyama kuliko kuangalia hoja yenye maslahi ya taifa
Unajaribu kupinga hoja na unajaribu kukatisha tamaa wengine kwa kuingiza ushabiki wa kijinga wa vyama ooh wewe ni ccm mara lumumba
Narudia kama sio kijana basi mtu mzima mwenye fikra zisizokuwa na msaada wa kusaidia kuimarisha hata chama chako Cha upinzani
Mada iko wazi kabisa pale juu ki'achokushinda kujibu Nini

Hizo akili zako zina shida sana kama unashindwa kufahamu mazingira ya ukoloni yalikuwa mabaya kuliko sasa
Lakini bado walipambana Kwa malengo ya kupata kwanza viti vingi then kupewa mamlaka kamili
Moja ya hoja yangu ni upinzani kuweka malengo ya muda mfupi kushika kwanza viti vingi vya ubunge madiwani serikali za mitaa waonheshe wananchi uwezo wao
 
Katika nchi za kiafrika mabadiliko huletwa na wananchi bila kujali itikadi zao, Tanzania eti tunataka viongozi wa Chadema walete mabadiliko! Huu ni ujinga na uoga.
Lazima wawepo watu wenye kuonyesha njia ya mageuzi ambao wanaminika sio lazima wawe chadema
 
Hii mada naielewa ila ukweli ni huu tatizo la kubuni umejaribu kulitengeneza, na sina ushabiki wa vyama vya siasa.

Nasisitiza tatizo ni CCM wanaohujumu huwezi kujaribu kuwalaumu wahanga na siwezi kuwa mnafiki, tutarudi kuwalaumu kama CCM wataweka equal playing field kwenye siasa.

Tatizo kubwa kwenye mada yako ni unafiki na ulitaraji na wachangiaji wawe wanafiki. Msingi wa tatizo hutaki Ku acknowledge,NI CCM PERIOD!
Duh kazi ipo
nashukuru kwa kuelewa
Naomba nirudie kwa kuuliza ccm ni ni ?
Tunapotazama CCM kama dubwasha Fulani hivi au jitu Fulani kubwa sana ambalo ni undifined mkuu
Hapo ndipo upinzani unapofeli

Ccm ni watanzania wenzetu wenye utashi na akili waliojengewa fikra za mrengo wa kiccm ,
Kama unataka kuibomoa ccm lazima uje na fikra mipango na mikakati mbadala yenye uwezo wa kushawishi watanzania wenzetu wa CCM na wasio na chama wakuunge mkono,
Ndo maana tunakesha hapa kuwaomba upinzani wabadili na kuimarisha mifumo ya chama Chao ili kuongeza trust kwa wananchi
Nafikiri umeona Lisu alivyobabaika kuelezea uongozi na delokrasia ndani ya chama chake,
Kwa mara ya kwanza kaamua kuwa mnafiki kumtetea mkiti wake
 
Huna hoja wewe ni CCM na Lumumba, nakujibu hoja yako kwa msingi wa hoja yako. Kama ungekua Una hoja yenye mashiko ungeanza na kuonyesha tatizo la ustawi wa siasa za vyama vya upinzani nchini. Na tatizo ni CCM ambayo hutaki kuonyesha mapungufu yake zaidi ya kusifia mfumo wake. Wewe ni CCM na Pro Lumumba Parse
Ccm ni nini mkuu, ukiweza kuelewa Hilo huhitaji kuona tatizo kubwa ni ccm ,
 
Wewe hoja yako ni ya mihemko hujatumia akili hata 50%, ombwe la uongozi kwa CHADEMA liko kwenye mioyo ya wanaccm kama wewe, tatizo la vyama vya siasa Tanzania limetengenezwa na CCM na wapambe wake kama wewe.

Nionyeshe kwa Mbowe kuwepo madarakani CHADEMA kumezuia vipi ukuaji wa CHADEMA kama chama cha siasa.

Pili Tanzania inaendeshwa na katiba ya chama au katiba ya taifa? Kwa uongozi wa Mbowe CHADEMA imeweza kuwithstand hujuma zote za CCM na kuifikisha sehemu ambayo badala ya kufa kama alivyosema Magufuli na kuwa mshirika wa majadiliano ya maridhiano ya kisiasa nchini.

Nionyeshe kwa Mbowe kuwepo madarakani kumeadhiri vipi CHADEMA
Mfuatilie Lisu akijibu hoja ya uongozi ndani ya chama chake kwenye dk 45 itv, uone alivyoaabika na kuabisha wanachama wenzake
Usipoelewa basi wewe ni mpambavu wa kiwango Cha juu sana
 
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu yenu kujenga taifa na nchi yetu.

Wakuu Kwa mara ya kwanza tulipata mwaliko wa kuhudhiria maadhimisho ya CCM tukiwa kama wataalamu wa afya Kwa ajili uchangishaji wa damu (blood donation)ktk maadhimisho hayo.

Wakuu tunatamani sana kuona vyama vya upinzani vinaimarika ili angalau tuwe na chama mbadala wa ccm, na hili linawezekana kwa kusema ukweli mchungu kwa kutambua uimara wa mpinzani wako na sio kuficha ficha madhaifu ya upinzani like kama ni milki ya watu Fulani tu.

Moja ya jambo nililojifunza ni kwamba CCM ina mfumo wa imara sana wa uongozi kuanzia shina kata wilaya kamati ya siasa utekelezaji katibu uenezi nk, Pili imeweka mfumo mzuri sana wa kuwajibishana, uongozi wa wilaya unaweza kumpa maelekezo DC au Das na akatekeleza n.k

Tatu, inajua kucheza na akili za wanachi kwa vitu vidogovidogo sana ,mfano kwenye hayo maadhimisho kulikuwa na vitu vidogo ila vinagusa wananchi Moja Kwa Moja like michezo games zawadi mbuzi nk

Nne, uimara wa kiuchumi wakuu Moja ya jambo muhimu nimeliona ni ccm kuwa vitega uchumi vingi haijalishi upatikanaji wake, lakini ni ukweli bila uimara kiuchumi Kwa vyama vya siasa vitaiahia kununuliwa tu kama sio na rule party basi na matajiri wa nje.

Nashauri yafuatayo kwa upinzani
Moja waimarishe mifumo ya uongozi na kuimarisha demokrasia ya ndani kuanzia ngazi ya shina mpaka taifa, hii itaongeza Imani Kwa wanachama wake na wanachi kuona Kila mmoja ana nafasi SAWA ya kuwa kiongozi, vile vile baadhi ya nafasi za uongozi kuwepo na ukomo kama mkt wa kitaifa, sitaki kuamini ndani ya miaka 20 chama kinashindwa kuandaa kiongozi kwenye nafasi hizo, hii inaondoa Imani kwa wananchi na kuleta ukakasi endapo mtu huyo atapewa nafasi kubwa ya kitaifa itakuwaje, it shameful kwakeli.

Pili, waweke malengo ya muda mfupi yanayofikika kuliko malengo makubwa yasiyowekana , kwa mfano nilishauri upinzani uweke lengo la kuchukua viti vingi vya bunge ili iweze kuwa na maamuzi makubwa ya nchi, ikizi gatiwa kwa sasa wananchi wamechoka bunge hili, wakiipeleka hiyo agenda Kwa wananchi no rahis kupokelewa.

Tatu, upinzani utafute agenda zinazogusa wananchi Moja kwa moja, huku wakitoa elimu taratibu ya agenda kubwa kubwa.

Mfano wananchi wachache sana wanajua umuhimu wa katiba mpya katika kutatua matatizo Yao direct, bahati Chadema kama ajenda Yao wanashindwa kujenga vizuri hoja inayoanisha vizuri katiba mya na matatizo ya wananchi

Kwa uchache ni hayo ila suala la umoja ndani ya upinzani ni la muhimu sana.
Ushauri murua kabisa
 
Ingekuwa uchaguzi unaamuliwa na kula halali zilizowekwa kwenye ballot box na wananchi, CCM wangekuwa nje kitambo sana

Lakini upinzani bado wana la kujifunza, ukianzia na jinsi uchaguzi wa viongozi unavyofanyika. Kuna vyama vina wenyeviti wa kudumu. Yaani vyama vinaendeshwa kama VICOBA
 
Back
Top Bottom