Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ndio hicho ambacho ninacho kiongelea msingi wa OWO ulijengwa katika msingi wa kuwagawa watu. Kidini, Kinchi na kikabila au kitabaka.
NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one. Hapo hakutakuwa na utofauti mwenye nacho na asiye nacho na tutakuwa na better planet. Tutaanza kufikiria kwenda planet zingine. Please open your mind.

Tatizo lililopo ni kuitokomeza OWO ile ya kikatili ya kibaguzi na kutumikia watu wachache. I like NWO
Fake promise like that given to Eve by satan.
 
Ndio hicho ambacho ninacho kiongelea msingi wa OWO ulijengwa katika msingi wa kuwagawa watu. Kidini, Kinchi na kikabila au kitabaka.
NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one. Hapo hakutakuwa na utofauti mwenye nacho na asiye nacho na tutakuwa na better planet. Tutaanza kufikiria kwenda planet zingine. Please open your mind.

Tatizo lililopo ni kuitokomeza OWO ile ya kikatili ya kibaguzi na kutumikia watu wachache. I like NWO
We jamaa uko serious u like NWO
 
Ukweli kati yangu na dunia ni "Kumpenda Jirani yangu kama Ninavyojipenda". zaidi ya hapo ni falsafa tu.
 
Sio kwamba anaishabikia ILA kutokana na maelezo yake nmegundua kuwa huyu jamaa ni mmoja bio ya mawakala wa shetani anachokifanya ni kutega bomu ambalo likilipuka Kuna watu tutawakosa so kuweni Makini isije ikatokea kama ya edeni tena kwako! Kwa waumini WA mungu mjue kuwa zile nyakat zmefika so kesheni!
 
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.

Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti mbali mbali zilizo fanywa. Naomba unaposoma bandiko hili usiegemee kwenye Imani yoyote weka akilizako huru.

Kwanza kabisa ninaanza kwa kueleza kuwa Imani zote hapa duniani zimeanzishwa na wanadamu kwa malengo tofauti tofauti. Na kunaimani zingine zimewekwa kwa malengo ya watu fulani wanaojua siri fulani ili kuwapumbaza watu wasiweze kujua siri hiyo.

"Aaaa! ni kitu gani hapa Annael unataka kuongea?" Kuna watu wenyenguvu sana duniani waliweka OWO (Old World Order) Kwa ajili ya kuwanufaisha wao na familia zao na ukoo wao tu. Kwa hiyo hakuna hata mmoja anayeruhusiwa kujua siri yoyote kuhusu dunia na maisha ya wanadamu. Zikawekwa dini hususani dini za (Kikristo, Kiislam na Kiyahudi) Lengo lake ni kuwafanya watu wasihoji chochote. Na kuwa wanakubaliana na kila kitu kilicho andikwa kwenye vitabu ambavyo vinatumika kwenye imani zao. Ni siri kubwa imefumbwa na ni mtu tu mwenye kutafakari anaweza akajaribu kuhoji na kujihoji mwenyewe.
Hebu tujaribu kupiti a hapa kidogo Illumination: the Secret Religion - God

Kuna siri nzito sana ambayo siyo mda mrefu itakuwa wazi maana hakuna tena kuficha. Kila mtu anatakiwa kuwa huru na kufanya kilicho chema aonacho. Hizi vita, Njaa na ugomvi wa kila namna ni kutetea mslahi ya wao.
Hebu jaribu kufikilia kwa nini nchi ya Marekani watu wenye nguvu wametoka kwenye jamii moja? skull and bones
Hebu pitia hapa kidogo: List of Skull and Bones members - Wikipedia, the free encyclopedia

Wana falsafa, Sayansi na wanaHisabati ndio waliokuwa wanajua siri hii. Mtu akiwa anajua Falsafa, hisbati, Sayansi na Mystery huyo mtu atakuwa yuko juu sana na atajua mengi mmno kuhusu ulimwengu na watu.

"Annael mbona unanichanganya ni nini tena hapa?" Aaah hebu tulia kidogo unmfahamu jamaa mmoja anaitwa Pythagoras? hebu ngoja ni kukumbushe alifanya proof ya theory fulani ya kihesabu kuhusu triangle ambayo ni A² + B² = C²
Unakumbuka sasa? Huyu jamaa alitoa siri nyingi sana zaidi ya hiyo ni mtu wa kwanza kujiita kuwa yeye ni mwanafalsafa alikuwa anafanya mambo ya Mystery, Hisabati, Sayansi na Falsafa. Huyu jamaa alifanya vitu vingi sana ambayo jamii fulani fulani zinatumia na kuelimishana wao kwa wao katika level tofauti tofauti.
Pythagoras aligawa elimu hiyo katika degree 10 na kuweka ndani ya Pembe tatu

View attachment 240072
Formula hiyo jamii nyingi sana zinaitumia. Hebu ngoja kidogo. "Umecheki vizuri hilo umbo? Umeona nini hapo.
Aaah ni kama pilamidi hivi ambalo nyuma ya dolla ya malekani lipo!!! haa! sasa ni nini maana yake sasa?
Hebu check dolla ilivyo hapa:

View attachment 240078
Hebu tulia kidogo kwanini sasa hapo kenye pilamidi kuna kama kitu kina ng'aa? oooh jamani si ni mbwembwe tu za kupamba dolla?

Hapana siyo mbwembwe ni uhalisia wanamanisha wanachofanya hapo siyo kama pesa yetu tunaweka fisi mara tembo mara nini. Halafu kwenye dola kunamanaeno yanasema:novus ordo seclorum maana yake ni "New order of Ages"

Sasa ni wakati wa kuamka kutoka usingizini na kuachana na OWO kuabudu watu huku wamejificha kwenye dini na kutupumbaza sisi.
Nilazima tuwe na NWO ambayo ni mpya ya kutufanya sisi kuwa huru na siyo kutumikia watu wachache.

Maelezo mengine nitaendelea kutoa.


Mkuu Annael

Unajua asili ya hili neno "novus ordo seclorum"?

Unajua sababu hasa za hili neno kuwa coined kwenye US$ bill?
 
Back
Top Bottom