Ukweli kuhusu wewe na dunia

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.

Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti mbali mbali zilizo fanywa. Naomba unaposoma bandiko hili usiegemee kwenye Imani yoyote weka akilizako huru.

Kwanza kabisa ninaanza kwa kueleza kuwa Imani zote hapa duniani zimeanzishwa na wanadamu kwa malengo tofauti tofauti. Na kunaimani zingine zimewekwa kwa malengo ya watu fulani wanaojua siri fulani ili kuwapumbaza watu wasiweze kujua siri hiyo.

"Aaaa! ni kitu gani hapa Annael unataka kuongea?" Kuna watu wenyenguvu sana duniani waliweka OWO (Old World Order) Kwa ajili ya kuwanufaisha wao na familia zao na ukoo wao tu. Kwa hiyo hakuna hata mmoja anayeruhusiwa kujua siri yoyote kuhusu dunia na maisha ya wanadamu. Zikawekwa dini hususani dini za (Kikristo, Kiislam na Kiyahudi) Lengo lake ni kuwafanya watu wasihoji chochote. Na kuwa wanakubaliana na kila kitu kilicho andikwa kwenye vitabu ambavyo vinatumika kwenye imani zao. Ni siri kubwa imefumbwa na ni mtu tu mwenye kutafakari anaweza akajaribu kuhoji na kujihoji mwenyewe.
Hebu tujaribu kupiti a hapa kidogo Illumination: the Secret Religion - God

Kuna siri nzito sana ambayo siyo mda mrefu itakuwa wazi maana hakuna tena kuficha. Kila mtu anatakiwa kuwa huru na kufanya kilicho chema aonacho. Hizi vita, Njaa na ugomvi wa kila namna ni kutetea mslahi ya wao.
Hebu jaribu kufikilia kwa nini nchi ya Marekani watu wenye nguvu wametoka kwenye jamii moja? skull and bones
Hebu pitia hapa kidogo: List of Skull and Bones members - Wikipedia, the free encyclopedia

Wana falsafa, Sayansi na wanaHisabati ndio waliokuwa wanajua siri hii. Mtu akiwa anajua Falsafa, hisbati, Sayansi na Mystery huyo mtu atakuwa yuko juu sana na atajua mengi mmno kuhusu ulimwengu na watu.

"Annael mbona unanichanganya ni nini tena hapa?" Aaah hebu tulia kidogo unmfahamu jamaa mmoja anaitwa Pythagoras? hebu ngoja ni kukumbushe alifanya proof ya theory fulani ya kihesabu kuhusu triangle ambayo ni A² + B² = C²
Unakumbuka sasa? Huyu jamaa alitoa siri nyingi sana zaidi ya hiyo ni mtu wa kwanza kujiita kuwa yeye ni mwanafalsafa alikuwa anafanya mambo ya Mystery, Hisabati, Sayansi na Falsafa. Huyu jamaa alifanya vitu vingi sana ambayo jamii fulani fulani zinatumia na kuelimishana wao kwa wao katika level tofauti tofauti.
Pythagoras aligawa elimu hiyo katika degree 10 na kuweka ndani ya Pembe tatu

Tetraktys.gif
Formula hiyo jamii nyingi sana zinaitumia. Hebu ngoja kidogo. "Umecheki vizuri hilo umbo? Umeona nini hapo.
Aaah ni kama pilamidi hivi ambalo nyuma ya dolla ya malekani lipo!!! haa! sasa ni nini maana yake sasa?
Hebu check dolla ilivyo hapa:

dollar_back.jpg
Hebu tulia kidogo kwanini sasa hapo kenye pilamidi kuna kama kitu kina ng'aa? oooh jamani si ni mbwembwe tu za kupamba dolla?

Hapana siyo mbwembwe ni uhalisia wanamanisha wanachofanya hapo siyo kama pesa yetu tunaweka fisi mara tembo mara nini. Halafu kwenye dola kunamanaeno yanasema:novus ordo seclorum maana yake ni "New order of Ages"

Sasa ni wakati wa kuamka kutoka usingizini na kuachana na OWO kuabudu watu huku wamejificha kwenye dini na kutupumbaza sisi.
Nilazima tuwe na NWO ambayo ni mpya ya kutufanya sisi kuwa huru na siyo kutumikia watu wachache.

Maelezo mengine nitaendelea kutoa.


 

Attachments

  • dolla.jpg
    dolla.jpg
    13.7 KB · Views: 3,147
OLD WORLD ORDER
Ili uweze kuwa na kipya ni lazima kitu cha zamani kife. Lazima mfumo wa zamani wote ufe. Lakini kunakuwa na ugumu sana maana huo mfumo umekuwa na mizizi tena mirefu sana ni vigumu kuondoa doctrine za watu wa dini walizojifunza kwenye vichwa vyao.

Maana hii OWO imejificha katika misingi ya kidini ili kufaidisha wachache. Msingi wa NWO unataka kuwafaidisha watu wote. Kuwa na kitu kimoja kwa ajili ya wote. kama kutumia pesa kutumia pesa ya aina moja kwa manufaa ya watu wote. Kwa sababu sisi wote ni watu na tunaishi kwenye sayari moja ni lazima tufanye kitu kwa pamoja kwa manufaa ya sis.

OWO inawagawa watu katika matabaka na kuonekana kuna watu wa aina fulani na wengine wa aina fulani. Hii tu ilitokana na watu wachache wanaojua siri kutunga na kuhakikisha watu wote ulimwenguni wanafuata hicho na kupumbazwa wasijue vitu. "Education is Power"

Kwa mfano POP ni mtu mkubwa sana duniani zaidi hata ya raisi wa nchi fulani. Lakini je Pop ni kiongozi wa duini wa watu wote au kiongozi wa dhehebu fulani la kikristo? Hiyo yote ni kwa sababu ya OWO ambayo inawafanya watu kuabudu wanadamu wenzao pasipo kujielewa.

Nachelea kusema hivyo kwa sababu nimewahi kuwa kwenye dini na kuajaribu kuuliza maswali ambayo ni muhimu sana niyafahamu na matakeo yake unaambiwa ni "fumbo la IMANI" Je fumbo la imani ndio nini sasa kwanini kuwe na fumbo?. Watu hawa walitengeneza system ambayo lazima iweze kujicotrol yenyewe pasipo weneyewe kuwepo na kufanya watu wasiwe nauwezo wa kuhoji na kulidhika.

Walijua kabisa watu wa duniani ni wazembe kufanya utafiti na kwahiyo ukiwafumba kwenye msingi wa mungu hachunguziki watakaa kimya na kufuatakila wanachoambia pasipo kutumia ubongo wao. Ni wakati wa kukaa na kutafakari kwa usahihi pasipo kulubuniwa na mtu ni kwa akili ya mtu binafsi kuamua na kujua ukweli ni nini?

Kwa mfano. Tukiongelea ukristo ambaye mwanzilishi wake ni Yesu kristo umekuwa tofauti ukilinganisha na msingi wa mwenye aliye anzisha. Kwa kifupi wakristo sio wafuasi wa Yesu bali ni wafuasi wa Paul ukiangalia kabisa hakuna hata dhehebu moja linalofuata maelezo ya Yesu. Halafu tena hebu angalia Je wandishi wa agano jipya ni akina nani hao.
Matthew, Mark, Luke, John, Paul, James, Peter, Jude watu wanane na wengi wao waliandika maneno ya Yesu kwa kusimuliwa tu.

Yule mkusanyaji wa vitabu vya kwenye Biblia hakuwa makini kwa maana imekuwa ikijichanganya yenyewe. Huku wafuasi wake wakiwa hawataki kuona hayo makosa yaliyofanywa na huyu mwandishi. Kusema kweli ni uwongo mtu ni kwa ajiri ya kukamilisha matakwa yao waliyokuwa wanayataka.

Kwanini sasa wamisionary wawendio walikuwa wanafanya ukoloni kwetu na kutunyanyasa? Na huku wanaeneza neno la Mungu mwema?

Hii yote ilikuwa ni kukamilisha matakwa yao wenyewe. Sas imefika wakati wa kujikomboa sisi wanadamu dunia nzima tuwe huru kutoka kwenye mikono ya watu hawa wachache waliotulisha sumu na kutupumbaza akili zetu.


Nitaendele kutoa mpaka tujielewe sisi ni akina nani.
 
JINSI YA KUTUMIA JICHO LA TATU
Unajua mtu anaishi katika sehemu mbili Katika ulimwengu wa 3D na katika ulimwengu wa 4D.
D= Dimension.
Katika ulimwengu wa 3D ndio huu unaoniwezesha sasa naandika haya kwenye kompyuta na nikiangalia ninaona jua magari na tunaenda shule kusoma nk. Ni ulimwengu huu ambao umeuzoea siku zote tuna kula na kunywa. Katika ulimwengu huu tunatumia macho mawili na huku tunashangaa kwanini watu wengine wanafanya miujiza wakati sisi wengine hatuwezi? Au kwanini watu wengine wanatabiri wakati sisi hatuwezi?

Hawa watu wanaweza wakafanya hivyo kwa sababu wanaweza wakatumia jicho la tatu ambalo mtu akiwa mtoto mdogo au mchanga huwa lipo active. Na kadri anavyozidi kuwa mkubwa jicho hilo hufumbwa na kufanya asiweze kuona tena vitu vilivyo kwenye 4D.

Watu wanafanya mambo hayo ni kwa sababu wanauwezo wa kufumbua jicho la tatu na kuona vitu vilivyo kwenye 4D. Huo uwezo wa kufumbua hilo jicho ndio unaosababisha watu wanafanya miujiza wanatabiri na wanafanya vitu vingi ambavyo havionekani.

Kwa sababu mtu amefumba jicho hilo kwa mda mrefu huwa inamchukua mda kuwa na uwezo wa kulifumbua jicho hilo. La kini kwa maelekezo maalumu jicho hilo linaweza likafumbuka. Jicho la tatu linakufanya uone ulimwengu mwingine tunaoishi sisi ambao ni mzuri sana. Tafauti na huu ambao umeharibiwa na watu wachache. Mantiki ya sisi kuwepo ni kuufanya ulimwengu huu ufanane na ulimwengu ulio kwenye 4D. Uoga na kuogopeshwa kumewafanya watu wasiweze kabisa kuingia katika ulimwengu huo.

Nitajaribu kueleze jinsi ya kuingia katika ulimwengu huo hatua kwa hatua na ndipo sasa utaanza kujielwea wewe mtu ni wa namna gani je ni nguvu gani uliyo nayo ambayo umefungwa na watu wachache walioweka kanuni zao ili wewe upumbazike.
 
ThirdEye.jpg
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.

Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.

Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.
 
Unaitaka New world order wewe? Unaijua inakuja kwa misingi ya nani? Mawazo huru ndio yanayoua ustaarabu katika jamii, uovu huanzia katika mawazo huru yani kufanya unavyotaka. Angalia mambo unayoshabikia yanaipeleka jamii yetu wapi.
Hebu nakuomba usome vizuri ndugu. OWO imejikita katika kuwapumbaza watu na kuwafanya kuwa kama wao sio Human Being.
Kwenye NWO sheria zipo na zitaendelea kuwepo na zakutunza Utu wa Mtu. Na sio kunyanyasa.

Lazima kuwe na system moja inayo simamia mambo yote Diniani ndio conflict zitaisha.
Coflict zipo kwa sababu za Kidini, Kikabila, Kinchi nk. Lakini hayo yote yakiisha wanadamu tutaishi kwa raha bila kubaguana. Hii ndio NWO.
Ni nchi kubwa kubwa ndio ambao hawataki NWO
 
Hebu nakuomba usome vizuri ndugu. OWO imejikita katika kuwapumbaza watu na kuwafanya kuwa kama wao sio Human Being.
Kwenye NWO sheria zipo na zitaendelea kuwepo na zakutunza Utu wa Mtu. Na sio kunyanyasa.

Lazima kuwe na system moja inayo simamia mambo yote Diniani ndio conflict zitaisha.
Coflict zipo kwa sababu za Kidini, Kikabila, Kinchi nk. Lakini hayo yote yakiisha wanadamu tutaishi kwa raha bila kubaguana. Hii ndio NWO

Annaeli aidha umepotoshwa kuhusu hili jambo, au kwa makusudi unahubiri tuukubali mfumo wa kifree mason. Kwa sababu mfumo unaoongelea utatangaza kuondoa hofu ya Mungu, sheria unazoziongelea zitakuwa kwa ajili ya interest za uovu.
 
Annaeli aidha umepotoshwa kuhusu hili jambo, au kwa makusudi unahubiri tuukubali mfumo wa kifree mason. Kwa sababu mfumo unaoongelea utatangaza kuondoa hofu ya Mungu, sheria unazoziongelea zitakuwa kwa ajili ya interest za uovu.
Ndio hicho ambacho ninacho kiongelea msingi wa OWO ulijengwa katika msingi wa kuwagawa watu. Kidini, Kinchi na kikabila au kitabaka.
NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one. Hapo hakutakuwa na utofauti mwenye nacho na asiye nacho na tutakuwa na better planet. Tutaanza kufikiria kwenda planet zingine. Please open your mind.

Tatizo lililopo ni kuitokomeza OWO ile ya kikatili ya kibaguzi na kutumikia watu wachache. I like NWO
 
Pole ndugu
Hii NWO lazima itokee sio mbali sana na pale tu misingi ya OWO itakapo vunjika. NWO imehakikishwa ndio itakayo oondoa utata wote duniani. Iko proved UN na lazima itokee. Sasa hivi ni kusafisha njia tu. Inaenda step by step.

Take it from me. Unapenda au hupendi NWO lazima itokee. Akina Bush sasa hivi wanahaha na biashara zao ndio wanaotoa uvumi kuhu upinga kristo.
 
Hii NWO lazima itokee sio mbali sana na pale tu misingi ya OWO itakapo vunjika. NWO imehakikishwa ndio itakayo oondoa utata wote duniani. Iko proved UN na lazima itokee. Sasa hivi ni kusafisha njia tu. Inaenda step by step.

Take it from me. Unapenda au hupendi NWO lazima itokee. Akina Bush sasa hivi wanahaha na biashara zao ndio wanaotoa uvumi kuhu upinga kristo.

...............
 
Back
Top Bottom